Tajiri Tanzanite JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 3,076 Reaction score 5,871 Apr 7, 2018 #1 Hapo vip! Mtu mwenye degree ya phamarcia anifuatwe pm ni mpe mchongo.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,771 Reaction score 126,707 Apr 7, 2018 #2 Aisee hii fursa imenipita kabisa
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,052 Apr 7, 2018 #3 [emoji848] [emoji848] Naenda kusomea hiyo Degree kama nikimaliza huo mchongo bado upo naku-PM.
Tajiri Tanzanite JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 3,076 Reaction score 5,871 Apr 7, 2018 Thread starter #4 Mwifwa said: Aisee hii fursa imenipita kabisa Click to expand... Nimchongo ulionyooka sio wa kitoto.
Google chrome JF-Expert Member Joined Nov 26, 2017 Posts 2,287 Reaction score 12,856 Apr 7, 2018 #5 Tajiri Tanzanite said: Hapo vip! Mtu mwenye degree ya phamarcia anifuatwe pm ni mpe mchongo. Click to expand... Kama umeweka tangazo hadharani basi weka huo mchongo hapa hapa watu tuone, vinginevyo ungetutangazia huko huko pm
Tajiri Tanzanite said: Hapo vip! Mtu mwenye degree ya phamarcia anifuatwe pm ni mpe mchongo. Click to expand... Kama umeweka tangazo hadharani basi weka huo mchongo hapa hapa watu tuone, vinginevyo ungetutangazia huko huko pm