Mwenye CV ya Mrisho Mpoto

Kuna kasoro gani "he can make me change the way i was think about him".!

You can appear as a stronger writer with properly punctuated sentences lacking the ability to write grammatically sound
 
Kuna kasoro gani "he can make me change the way i was think about him".!
SAHIHI: "HE CAN MAKE ME CHANGE THE WAY I WAS THINKNG ABOUT HIM"

Is it worth speaking your less fluent second language?
 
Nyie walimu wa english mna tabu sana. Kosa dogo tu mnaanza kuwatoa watu akili, sipendi hii tabia ya dharau kama mtu kakosea na unataka kumrekebisha sawa, ila sio kumshusha thamani.

What role do languages play in your life?
 
You can appear as a stronger writer with properly punctuated sentences lacking the ability to write grammatically sound

Mbona imesharekebishwa, scrow hii post utaona. Tulipitiwa kosa tukaliona, quite vivid grammatical error!
 
Huu ni mzaha
.huyo ni darasa la saba tu hapo Ilala.Aliokotwa na Mr Ngoswe aka Adam Semzaba RIP akampeleka udsm FPA ndo akakulia pale bila kuwa mwanafunzi.Hiyo ikampa exposure na kuijua sanaa.Hana elimu zaidi ya informal education na std seven.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…