Mwenye cv ya makamba aiweke hapa

MMh... Toka lini? Makamba ni katibu mkuu. Cv yake ndiyo imemfikisha hapo! Halafu hiyo lugha imekaa kienyeji sana!

Ulitaka ikae kiugeni kama Tamil Somaiya, RA na Patel? Pia hujui kuwa hata hizo jembe na nyundo vimekaa kienyeji zaidi. Kwani Head umeitafsiri vip kwako? Are you also great thinker? Mh!
 
Great thinker ina maana gani?
 
Kwa kuwa wewe ndie mwajili au huyo Makamba kaja kuomba kazi kwako?

Ni Ujinga tu wa Mwafrika!

acha uboya wewe.wazungu ndio wanaheshimu zaidi cv kuliko hata sisi waafrika.wao huna haja ya kuonesha vyeti,cv inatosha kujua wewe ni mtu wa aina gani.....napata wasiwasi na kiwango cha uelewa wako wa mambo ya msingi ambayo yako wazi kabisa katika maisha ya kila siku
 
Mwizi atatetewa na mwizi tuu, forever-huyu knowledge yake kama ya ma-rope tu.
 
acha uboya wewe.wazungu ndio wanaheshimu zaidi cv kuliko hata sisi waafrika.wao huna haja ya kuonesha vyeti,cv inatosha kujua wewe ni mtu wa aina gani.....napata wasiwasi na kiwango cha uelewa wako wa mambo ya msingi ambayo yako wazi kabisa katika maisha ya kila siku
CV yako imeishaiweka hapa hadi udai CV ya Makamba? Au unataka kumpa kazi mpya Makamba?

Ujinga wa Mwafrika!
 
Wenzetu ndio wameileta waliyoikuta Lumumba sasa unalalamika nini, Utadhani ulikuwa nayo kumbe ilikuwa muda wako wa kutuuliza CV ya Makamba haujafika.
Sijakufamu hapo juu? umekusudia kusema nini?
 
Kwa kuwa wewe ndie mwajili au huyo Makamba kaja kuomba kazi kwako?

Ni Ujinga tu wa Mwafrika!

Mbona unatetea mno??? Una maslahi binafsi au vipi....................... Kwani jamaa wakiomba CV ya Makamba wewe inakuuma nini?? Si uwaache wachambue wanachotaka wakichoka wanaendelea na mijadara mingine. Sasa wewe mwenzetu unavyoipinga hii thread utafikiri wanaulizia CV ya baba mkwe wako.
 
Naona wewe ndie umekereka zaidi, baba mkwe anaingia vipi hapa? Cha msingi sijaona umuhimu wowote wa mtu kutaka kujua CV ya Makamba!
 
CV yako imeishaiweka hapa hadi udai CV ya Makamba? Au unataka kumpa kazi mpya Makamba?

Ujinga wa Mwafrika!

ukiitaka naiweka tu,haina shida......sio ujinga wa mwafrika,ni ujinga wa waliompa cheo alichonacho sasahivi.mtu anaetumia nguvu kwanza akili baadae mnampa cheo kikubwa vile?bora wangekupa hata wewe
 
Mbona unatetea mno??? Una maslahi binafsi au vipi....................... Kwani jamaa wakiomba CV ya Makamba wewe inakuuma nini?? Si uwaache wachambue wanachotaka wakichoka wanaendelea na mijadara mingine. Sasa wewe mwenzetu unavyoipinga hii thread utafikiri wanaulizia CV ya baba mkwe wako.

Ndio yeye mwenyewe labda....mimi sidhani hata hiyo CV Makamba anajua inafananaje
 
Back
Top Bottom