Kuandika tu humu kaziNatafuta kazi… ninapofanya kazi mkataba unaisha mwezi huu … ajira zimekuwa ngumu kila ukiomba una temwa
Nina elimu ngazi ya degree maendeleo ya jamii
Kama kuna mtu ana connection hata kuwa muhudumu wa tren SGR ama ukonda wa mabasi mimi niko tayari
Au kama kuna kazi yoyote halali nisaidiwe maisha magumu haswa binti kukaa bila ajira
Nawasilisha
Kwahyo kazi za shamba n za kiume ila 50/50 mnataka.
Kuandika tu humu kazi
Majembe yanawapendeza nyieKwahyo kazi za shamba n za kiume ila 50/50 mnataka.
Nyie mnapendezwa na nini?Majembe yanawapendeza nyie
Sawa ila usifoke sasa mkuuHizo kazi siziwezi nimesema
Kuzunguka kwenye kiti ofisini na ki ac hiviNyie mnapendezwa na nini?
Kuna kazi nyingine ni za kimiyeyushoOk,basi fanyia marekebisho uzi wako sema ni kazi gani unataka weka contact.
Sawa ila usifoke sasa mkuu
Kuna kazi nyingine ni za kimiyeyusho
Utakuta unaemwambia hivi nae jobless.....jf kuna mambo sanaAya fanya kama unani connect huko uliposikia kuna kazi
Nimefurahi kuona kwa Sasa mapenzi hayakutesi tena umekomaa na kutafuta hela Safi sana.Natafuta kazi… ninapofanya kazi mkataba unaisha mwezi huu … ajira zimekuwa ngumu kila ukiomba una temwa
Nina elimu ngazi ya degree maendeleo ya jamii
Kama kuna mtu ana connection hata kuwa muhudumu wa tren SGR ama ukonda wa mabasi mimi niko tayari
Au kama kuna kazi yoyote halali nisaidiwe maisha magumu haswa binti kukaa bila ajira
Nawasilisha
kivipiKuna kazi nyingine ni za kimiyeyusho
Hushiki simu mkuu.Utakuta unaemwambia hivi nae jobless.....jf kuna mambo sana
Mi ndio namalizia mshahara wangu wa october hapaUtakuta unaemwambia hivi nae jobless.....jf kuna mambo sana
Unacheza Mbali na connection.. kadogo2Siwezi… sijawai kulima wala hatuna mashamba kwetu
Halafu mimi ni wa kike
Una maanishaje? Au umenipigiaaa?Hushiki simu mkuu.
Ila ndio hivyo uhalisia hizo kazi kupata ni ngumu.Kuzunguka kwenye kiti ofisini na ki ac hivi
kubeba box unaweza?Hata hii nayofanya degree iko kando wala sio ya elimu yangu
Sichagui kazi ila kilimo hapana
Sawa,all the bestLabdaaa ila no… jembe silijui hiyo kulima nitawezaje labda nipande maua tu