Uko tayari kuwa shamba boy
Ok,basi fanyia marekebisho uzi wako sema ni kazi gani unataka weka contact.Siwezi… sijawai kulima wala hatuna mashamba kwetu
Halafu mimi ni wa kike
Tuliza akili apo uwes ongezewa mkataba?
Ok,basi fanyia marekebisho uzi wako sema ni kazi gani unataka weka contact.
Maisha hayajakuchapa vilivyo.Siwezi… sijawai kulima wala hatuna mashamba kwetu
Halafu mimi ni wa kike
Duh! Mabinti mmekuwa wa moto siku hiz kusaka ajira na wote muna degree
Hapa hutawasikia haki sawa.Halafu mimi ni wa kike
Maisha hayajakuchapa vilivyo.
Hapa hutawasikia haki sawa.
Mbona easy tu though nilichokustudy unachagua kaziHizo za shamba achana nazo maana itachukua muda kujifunza kilimo na maelekezo mengi…
Wakike eeh!Halafu mimi ni wa kike
Mbona easy tu though nilichokustudy unachagua kazi
weka degree kando.
Wakike eeh!
Unaweza kufanya kazi Kijijini kama Kasulu?if yes njoo pmNatafuta kazi… ninapofanya kazi mkataba unaisha mwezi huu … ajira zimekuwa ngumu kila ukiomba una temwa
Nina elimu ngazi ya degree maendeleo ya jamii
Kama kuna mtu ana connection hata kuwa muhudumu wa tren SGR ama ukonda wa mabasi mimi niko tayari
Au kama kuna kazi yoyote halali nisaidiwe maisha magumu haswa binti kukaa bila ajira
Nawasilisha
Unaweza kufanya kazi Kijijini kama Kasulu?if yes njoo pm
Kwahyo kazi za shamba n za kiume ila 50/50 mnataka.Eeeh una kazi unipe connection