Mwenye connection ya kazi mkoani Dodoma

Mwenye connection ya kazi mkoani Dodoma

abyeke

Member
Joined
Sep 22, 2023
Posts
26
Reaction score
35
Kwa majina naitwa Edgar nimehitimu mwaka huu diploma in procurement, naelewa elimu yangu ndogo na huku ground kugumu kwahyo nahitaji kazi yoyote niko tayari kufanya nipate pesa nikaendelee na kusoma bach..
Napatikana humu 0610816834
 
Dodoma matajiri mpo kibao nipeni kazi jamani
 
Njoo hapa chinangali tufyatue matofali..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom