Natafuta Binti wenye cheti cha ADDO au Astashahada ya Pharmacy

nevil2022

New Member
May 25, 2022
1
0
Hello

Anahitajika binti mwenye cheti cha ADDO au certificate ya pharmacy

Eneo la kazi ni Wilaya ya Songwe

Shahara ni Tsh. 200,000/- kwa mwezi

Atapata makazi ya kuishi, akiwa mkazi wa Mbeya ni sifa ya nyongeza

Karibuni Pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom