NYAMALAWA Member Joined May 3, 2012 Posts 90 Reaction score 17 Nov 11, 2013 #1 Tunahitaji mtu mwenye sifa tajwa hapo juu kwajili ya kazi, Awe muaminifu Mchapakazi Mwenye kufanya kazi bila kusimamiwa Umri kuanzia miaka 18-24 Awe mkazi wa dar es salaam Anaekidhi vigezo hvyo atume cv yake hapa dmgaya1@gmail.com
Tunahitaji mtu mwenye sifa tajwa hapo juu kwajili ya kazi, Awe muaminifu Mchapakazi Mwenye kufanya kazi bila kusimamiwa Umri kuanzia miaka 18-24 Awe mkazi wa dar es salaam Anaekidhi vigezo hvyo atume cv yake hapa dmgaya1@gmail.com
Chimemena JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,376 Reaction score 454 Nov 11, 2013 #2 mwenye degre ya marketing hawezi?
D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,705 Nov 11, 2013 #3 Kampuni gani,mpo wapi? Halafu hiyo email imekaa kipersonal sana haipo kiofisi.
NYAMALAWA Member Joined May 3, 2012 Posts 90 Reaction score 17 Nov 11, 2013 Thread starter #4 ray05 said: Kampuni gani,mpo wapi? Halafu hiyo email imekaa kipersonal sana haipo kiofisi. Click to expand... We endelea kusubiri email ya kampuni,wenye nia na kazi tayari washatuma mails zao kitambo
ray05 said: Kampuni gani,mpo wapi? Halafu hiyo email imekaa kipersonal sana haipo kiofisi. Click to expand... We endelea kusubiri email ya kampuni,wenye nia na kazi tayari washatuma mails zao kitambo
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,744 Reaction score 33,951 Nov 11, 2013 #5 ray05 said: Kampuni gani,mpo wapi? Halafu hiyo email imekaa kipersonal sana haipo kiofisi. Click to expand... mie kinachonishangaza kila nikituma email kwenda kwenye hizi za makampuni mfano,whitdent@ipp.com,haziendi bana,why?
ray05 said: Kampuni gani,mpo wapi? Halafu hiyo email imekaa kipersonal sana haipo kiofisi. Click to expand... mie kinachonishangaza kila nikituma email kwenda kwenye hizi za makampuni mfano,whitdent@ipp.com,haziendi bana,why?
S Swat JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 4,201 Reaction score 2,003 Nov 11, 2013 #6 Elungata said: mie kinachonishangaza kila nikituma email kwenda kwenye hizi za makampuni mfano,whitdent@ipp.com,haziendi bana,why? Click to expand... Whitedent@ipp!. Mbona umechanganya kande,mlenda, samaki na chai...! Lazima zisiende.
Elungata said: mie kinachonishangaza kila nikituma email kwenda kwenye hizi za makampuni mfano,whitdent@ipp.com,haziendi bana,why? Click to expand... Whitedent@ipp!. Mbona umechanganya kande,mlenda, samaki na chai...! Lazima zisiende.