Mwenye bachelor kufundisha medium primary school

Posho City

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
643
250
​Wana jf,hv ni halali kwa mwenye bachelor ya ualimu na anayetaka kujenga C.V kufundisha hizi shule za msingi za kiingereza maarufu kama medium primary schools.
 

Singo

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,089
2,000
hata ningekua na Phd, napenda kufundisha watoto ili kuwajenga na msingi mzuri, kwani we mtazamo wako ukoje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom