Kwa vile sasa tunaishi katika dunia tofauti na ile ya zamani basi hizi mila zitafutika kwa kukosa sababu za kuwepo na zitabaki zile zenye kuendelea kuwa na nafasi. Kwa mfano huko kufunika kwa jani la gomba tutaendelea kutumia lakini mijini inakuwa tabu hata tukitaka kuendeleza kwa vile migomba na vyungu ni adimu.
Appolo,ni kweli kabisaa but kuna vingine ndugu yangu havifai hata kutamani, kama hiyo ya kutoboa midomo duu!!Natamani ningezaliwa miaka ya zamani tulipokuwa na utamaduni wetu. Sasa hivi ngekuwa shambani napalilia mahindi pembeni nina maziwa na mahindi ya kukaangwa (chakula la mchana).
No fb, twitter, my space, Tv, radio, politics.,.
Mababu zetu wanalala saa 2 tu ikishafika maana hamna umeme mtu asubuhi unaamka fit, mwili unapumzika vyema, no intoxications za madawa, soda, n.k. Dawa za asili na vyakula organic sio vya makopo wala mifuko.
Pia, no HOMOS katika cultures zetu za zamani.
mhhh hawa wa midomo kiboko asili ya wapi tena hiyo mdau??
Appolo,ni kweli kabisaa but kuna vingine ndugu yangu havifai hata kutamani, kama hiyo ya kutoboa midomo duu!!
weee,!! chezea asil wewe, kuna watu japokuwa wapo town lakini bado wanaendeleza unaambiwa ndizi usipofunika na jani hazinogi kabisaa..
Hii ya kutoboa mdomo sijaikubali kabisa.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
kumbe na wewe ni mchaka. Mbona JF imevamiwa?Yewoomii
Kweli ameline lakini ukiwachunguza wanaotobolewa midomo wanaona kawaida, ni Tamaduni ya mtu. Hata wewe ungezaliwa kwenye culture hiyo ungeona kawaida. Sasa hivi kuna tamaduni kwenye kizazi cha sasa ambazo ukiziangalia utaona bora anayetoboa mdomo.