JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,450
- 2,498
Mteja wangu amenitumia mkuu,kama unavyo nijulishe mkuu nahitaji vipya lakini 10-15Hizo picha umepata wapi?
Kama unataka vipya nenda dukani.Mteja wangu amenitumia mkuu,kama unavyo nijulishe mkuu nahitaji vipya lakini 10-15
o we dalali?Mteja wangu amenitumia mkuu,kama unavyo nijulishe mkuu nahitaji vipya lakini 10-15
Ndio nipo dar kama unavyo nitumie namba PM na bei yake bila kusahau locationUpo Dar?
Acha maswali yako, twende kwenye jambo la msingikwahiy
o we dalali?
Mbona Dar kunamaduka mengi sana,na unataka vipya,au unataka vya magendo?Ndio nipo dar kama unavyo nitumie namba PM na bei yake bila kusahau location
Punguza ujuaji, kama hauna kausha, sio lazima kumuuliza maswali yasiyokuwa na maana.kwahiy
o we dalali?
vipya Mkuu nimezunguka sana sijavipata kamaunavyo twende tufanaye biasharaMbona Dar kunamaduka mengi sana,na unataka vipya,au unataka vya magendo?
Mteremko mteremko ni hatari...atauziwa vya wizi badala ya kwenda dukaniKama unataka vipya nenda dukani.
Nenda pale Keko furniture utapataNdio nipo dar kama unavyo nitumie namba PM na bei yake bila kusahau location
nimeulizia ya aina hiyo hawanaNenda pale Keko furniture utapata
vipya Mkuu nimezunguka sana sijavipata kamaunavyo twende tufanaye biashara