johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,778
- 145,708
Weka picha mzee, Mbona kazi rahisi sana, kwanini tuandikie mate wakati wino upo?Walikuwepo bwashee!
Chama Cha Mazezeta hawaelewi kitu, wao ni vampires. Wana kiu na damu za watuHuu nao unachangia kueneza COVID 19 hakukuwa na sababu kuukimbiza katika mzingira ya hatari kama haya
Kwani mwenge siyo wa lazima bwashee?Si tulikubaliana kwamba hakuna mikisanyiko isiyo ya lazima?
Kwani mwenge siyo wa lazima bwashee?
Mwenge wa uhuru umeingia mkoani Morogoro na kupokelewa na RC Shigella akiwa ameambatana na watendaji wa mkoa.
Mwenge utakimbizwa katika wilaya zote za Morogoro na jumla ya miradi ya maendeleo 44 itazinduliwa.
Tahadhari zote za kupambana na Corona zinachukuliwa.
Chanzo: Channel ten!