Mwenge wa uhuru kuzindua baa!!

Hakuna mradi wowote uliozinduliwa na Mbio za mwenge uliodumu hata miezi 6 , hiyo bar ijiangalie
Dah.. Kuna watu munawaza kama muko kaburini.. Sasa Mwenge umeziduma miradi ya watu kama mashule na motelihadi leo yapo yanatengeneza hela. Eti miezi sita. Acheni kutujazia saver la JF bure.
 
Una uhakika na ulichoandika? au unataka matatizo wewe
 
jana tumeelezwa kwamba,kwa malengo tuliyojiwekea tumefikia asilimia 49 ya kuanzisha viwanda uwenda na hiyo bar himo
 
Acha upumbavu wa kutetea kila kitu,mnaudhi sana nyie.MWENGE UMEZINDUA BAR KWELI HAPA GOBA BAR YENYEWE INAITWA TRIPLE B IPO HAPA GOBA OYSTERBAY.....Mwenge umezindua bar ya mtu tena mtu binafsi.
 
Kwani Katiba inasema Mwenge umepangiwa kuzindua nini?
 
Dah.. Kuna watu munawaza kama muko kaburini.. Sasa Mwenge umeziduma miradi ya watu kama mashule na motelihadi leo yapo yanatengeneza hela. Eti miezi sita. Acheni kutujazia saver la JF bure.
nipe ushahidi wa shule iliyofunguliwa na Mwenge wa uhuru na ikaendelea mpaka leo
 

hahaha watu wanakumbukumbu kumbe du
 

MAFILILI inawezekana maelezo yako ni sahihi pia ila nadhani mtoa mada amekosea kunukuu tarehe ya tukio tu lakini ni kweli wakimbiza Mwenge wetu wa Uhuru waliweka jiwe la msingi hapo Triple B Pub - Goba Road.
Nadhani ilikuwa Jumanne tarehe 10.07.2018
 
so long as those bar contribute towards national income improvement, sioni ajabu ya mwenge wa uhuru kuwepo pale

KIM JONG UN-LUMUMBA (Ila kwa sasa nipo Tazara hapa kwa MFUGARE FLY OVER)
Kwaiyo hiyo bar niya umma au ya fisadi mkuu...
 
Sio ata wewe unnahaki ya kuuita mwenge uje kukuzindulia chochote utacho anzisha...iwe bar, msikiti, gesti, kanisa nakdharika.
 
Bar Zina Imarisha Viwanda Vya Bia Nchini
 
Hahaha atakuwa katumwa sio bure
 
Bar ni Kiwanda Mkuu
Cha ajabu nini ?
 
Huku kwetu mwaka jana walizindua guest

Yaani awamu hii mambo ni ya Ovyo sana.
 
Labda wakimbiza mwenge walienda kukata kiu kidogo!😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…