bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,345
- 25,324
Hakuna
Hakuna uzalendo kwenye njaa
Hakuna uzalendo kwenye njaa
Kitaifa hauna faida labda kwa wapigaji wanaouwezesha kuzunguka wakiongeza sifuri zaidi ili wapige.Before sikujua faida ya Moja Kwa Moja ya mwenge mpaka nilipo pata nafasi na ukaribu na baadhi ya mambo.....
Mwenge Kwa jamii ni muhimu mnooo na hasa Kwa maendeleo ya ya jamii husika wengi wanajua kukesha nao tu ila behind Kuna watu hawalali kuweka mambo sawa (hasa ya kijamii) katika maeneo yao, ni katika mwenge wamesaidiwa hata watu local kabisa walokua na malalamiko Yako dhidi ya serikali au viongozi Fulani. So far Mwenge bado ni muhimu Kwa jamii yetu
Ila
Sikubaliani na gharama za mwenge hapa serikali inabidi kutazama namna Bora ya kupunguza gharama kuanzia kwenye posho za kamati na wakimbiza mwenge kiujumla, gharama zisizo za msingi Kwa taasisi na idara ambazo kiuhalisia hazina uhusiano wowote na mwenge ila zinapaswa kuwepo maeneo ya tukio na gharama nyingine nyingi (mafuta ya nishati Kwa sasa huenda likawa janga zaidi la kumaliza pesa)
Mabadiliko ya namna ya uendeshaji WA shughuli za mwenge ni muhimu Kwa sasa ila yanahitaji utulivu na uzalendo zaidi.
Nawasilisha na nipo tayari kupiga mawe.
Siku hizi wanauuita Olympic torch ni ibada za kuzimu zote hiziKukimbiza moto ni ibada kwa miungu ni ilianza hata kabla ya Kristo.
Picha ya mwenge
Kwanini sasa usiondoe hawa wakoloni weusi na mafisadi wa mali zetu?Mwenge umetokana na matambiko ya wazee wa pwani mabangoni bagamayo walipomuomba shetani awasaidie kuwaondoa wakoloni,moja ya maagano tambiko la mwenge lifanywe Kila mwaka,jiwe alitaka kuufuta akaonywa yatamkukuta hakusikia
Lengo lilikuwa wale weupe,labda wafanye upya maagano mengineKwanini sasa usiondoe hawa wakoloni weusi na mafisadi wa mali zetu?
You cut the cake.Kukimbiza moto ni ibada kwa miungu ni ilianza hata kabla ya Kristo.