Mwenge kukesha nyerere sr dodoma

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Live kutoka Nyerere sq Dodoma,Haya matumizi mabaya ya fedha za watanzania na hk KIBATARI CHA UHURU.
Karibuni.
 
wana udom mkajirushe huko,kiingilio miguu yako.
Vinywaji beba,simu acha hosteli,
Mi naenda kuuza kinga geti la kushoto
 
dah ful starehe wagogo bwana,kikundi cha wazee na watoto chini ya miaka kumi na tano hawa.
Wanasifia mpaka reli ya Tazara.
Hawa hamnazo kbs.
 
Hiyo ndo hali halisi,kuna baa za mda ndani ya uwanja huu,kondomu zimesambazwa kila kona ya uwanja,wazee tofauti tofauti wa chama wapo hapa wakisubiri mwenge wa uhuru. Hata RPC atakuwepo.ikumbukwe jana wakati wa zahama ya kuvunjwa kwa nyumba njedengwa hakuwa na taarifa ila leo taarifa anayo.
Mwenge ndo huo jamani, hali halisi ndo hiyo.
 
wamama waliopewa tenda ni wa chama yani wanalalama umoja wa vijana wa ccm hawajapewa shavu katika hili.
 
hyo ki2 haina faida zaida ya kuchezea pay 2 ambayo ingeweza hata kusomesha vijana we2 wa vyuo vikuu zaidi ya 1000 kila mwaka.....
 
Wangepeleka hela hata kwa mazishi ya ndugu zetu walofariki jana kwenye kubomolewa nyumba
 
Back
Top Bottom