JUNIOR_PAYA
Member
- Aug 23, 2014
- 71
- 17
uje na hela ya registration 390,000/ ilikuwa 380 nafikiri wameongeza hyo 10. pia uje na hela ya chumba angalau miezi 3 endapo utakosa hostel, vyumba vinaanzia sh. 40,000/ msosi nje ya chuo kuanzia 1000/.
hakikisha unakuja na vyeti vyote orginal na copy zake academic na birth, masomo yanaanza rasmi tarehe 2nov hakikisha hadi tareh 30/10 umesajiliwa hii semister ukichelewa week tu ni shiida watu watakuwa wamesoma mbaya mwecau wanafata ratiba yao kama walivyoiweka.
sijui kama nimekujibu mdogo wangu?
Iktokea umekosa hostel pena ya reg/direct cost inapungua..?!
direct cost , haihusiani na gharama za hostel
so gharama ya chumba/hostel n tsh ngap per yr ?!plz njb...
uje na hela ya registration 390,000/ ilikuwa 380 nafikiri wameongeza hyo 10. pia uje na hela ya chumba angalau miezi 3 endapo utakosa hostel, vyumba vinaanzia sh. 40,000/ msosi nje ya chuo kuanzia 1000/.
hakikisha unakuja na vyeti vyote orginal na copy zake academic na birth, masomo yanaanza rasmi tarehe 2nov hakikisha hadi tareh 30/10 umesajiliwa hii semister ukichelewa week tu ni shiida watu watakuwa wamesoma mbaya mwecau wanafata ratiba yao kama walivyoiweka.
sijui kama nimekujibu mdogo wangu?
Vyeti vya form six havijatoka hapo inakuwaje? Hasa kwa mtu ambaye bado hajachukua hata result slip.
Mwanangu alisomea songea na sasa Yuko Dar, hivyo kama havina ulazima kwa sasa naona pesa za kufuata huko songea zaidi ya laki moja ingemsaidia chuoni.
njoo na result slip usiiache tafadhali watakurudisha, hakikisha una cheti chakuzaliwa , cha form 4 vyeti vyote uje na copy si chini ya 2
Asante sana! Nilikuwa naona uvivu kutumia zaidi ya laki moja kwa ajili ya kufuata result slip tu! Itabidi dogo akifuate tu sina jinsi!