Mwenge Catholic University

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2015
Posts
4,507
Reaction score
5,736
Mwenge Catholic University(MWECAU) wametoa selection zao unaweza angalia hapa www.mwecau.ac.tz
 
Asanteee hataaa Mimi nimeshayaonaaaaa kioongoz asanteeee
 
karibuni chuo chakikatoliki, kaeibuni sana , walochaguliwa waniulize maswali ya hapa na pale. karibuni Moshi
 
Karibuuu sanaaaaa ndugu,hostel zipo kwa mwaka wa kwanza na wenye shida maalam mfano wanafunz kutoka nje ya nchi,albino,walemavu nk hao wanazingatiwaaaa sanaaaaa
 
Vitu gani muhimu kuja navyo mkuu


uje na hela ya registration 390,000/ ilikuwa 380 nafikiri wameongeza hyo 10. pia uje na hela ya chumba angalau miezi 3 endapo utakosa hostel, vyumba vinaanzia sh. 40,000/ msosi nje ya chuo kuanzia 1000/.

hakikisha unakuja na vyeti vyote orginal na copy zake academic na birth, masomo yanaanza rasmi tarehe 2nov hakikisha hadi tareh 30/10 umesajiliwa hii semister ukichelewa week tu ni shiida watu watakuwa wamesoma mbaya mwecau wanafata ratiba yao kama walivyoiweka.

sijui kama nimekujibu mdogo wangu?
 

Nadhani mtapigia kura chuo
 
Kumbuka kuja na koti kubwa mana Moshi kuanzia mwezi wa 5-8 ni baridi ya kuua mtu lakn hyo miez mingne n jua kal mno. Karbun Vazt.
 
Mazingira mazuri cn ila huwe tayaribkusoma yaani nimemaliza hapo mwaka huu ni mkikimkiki haswa......
 
Admission Forms Znatolewa Lini Au Zko Tayari Mtandaoni?


mkuu mwenge wako faster kuliko vyuo vyote nadhani, watatuma sms kwa wote ya maelekezo, admission form watatuma kwa anwani ya poata ulotumia kwa mwenge wee kesho haiishi ushapata usiwaze
 
mkuu mwenge wako faster kuliko vyuo vyote nadhani, watatuma sms kwa wote ya maelekezo, admission form watatuma kwa anwani ya poata ulotumia kwa mwenge wee kesho haiishi ushapata usiwaze

Mkuu kwenye maelezo yao wamesema kwa wale wanaotoka nje ya mkoa admmision form watachukulia chuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…