Mwenge catholic university

Mwenge catholic university

chuo bovu lile
chuo bovu lile
Siyo kweli mwecau nakifahamu. Kuna wafanyakazi wenzangu wamesoma hapo, nina ndugu yangu pia anasoma hapo education science na nimekitembelea pia.
Ila kama mwanafunzi ana tabia mbaya kama ya "kutega watu" hapo lazima apachukie.
Hata mwaka huu kuna ndugu yangu alikichagua katika moja ya selection zake
 
Kama nilivyosema Mimi Nina ndugu yangu yupo mwecau anaingia mwaka wa pili. Kwa wanaofahamu zaidi, je masharti ya kufanya registration yakoje? Maana anategemea fedha za mkopo wa bodi ambazo Mara nyingi huwa zinachelewa kutoka. Je anaweza kuruhusiwa kufanya registration kabla hajalipa chochote na aje kulipa bodi wakileta pesa? maadam Mwajuma karibu na wengine mnaofahamu naomba kufahamishwa.
 
Daaah jaman mbona tunatishana sasa mm nimechaguliwa hapo vp mambo ya bata yapo hapo au........
 
Sio bata wala panya wanapatikana MWECAU jiandae na ma presentation mengi, mavazi ya disco, matusi ndani ya geti sahau!
 
Back
Top Bottom