Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kwa hiyo akija CCM mnampa Cheo na wanaopambania CCM wanapewa nn? Kwa hiyo ukikosa tu cheo unahama utahamia vyama vingapi?Kitendo Cha Msigwa kuitisha press huku vyombo karibia vyote visivyoripoti taarifa za cdm kushiriki, kunatoa jibu kuhusu uwepo wa Msigwa CHADEMA...
Mwaka huu CHADEMA imepatikana. Tabu ya CHADEMA inapofika wakati wa uchaguzi wa ndani ya chama.Akiongea Mkoani Arusha leo June 03,2024, Makalla amesema “Msigwa amesema ‘najitokeza hadharani kuwaeleza Watanzania na CHADEMA sisi muda wote tumehoji Tume ya Uchaguzi kumbe sisi ni Waongo hata sisi wenyewe hatufuati taratibu za uchaguzi Mimi nimeonewa nimeibiwa kura’ sasa na Mimi namuambia Msigwa pole sana Mchungaji njoo CCM ambako kuna demokrasia tele, kuna uwazi”
Sikilizeni hotuba ya Msigwa vizuri siku ya kukubali kushindwa alisema hakuingia chadema kutafuta cheo.Hotuba yake ilikiri kuwa yeye ni muumini wa demokrasia na kuwa alikubali kushindwa. kulikoniMsigwa ni mrafi wa madaraka miaka 10 yote hajatosheka kukalia kiti kwamba yeye anaamini kifo tu ndio kinastahili kumuondowa kwenye uongozi vinginevyo hatakiwi kabisa kushindwa...
Akina Nassari waliwezaje hayo yote?Kwa hiyo akija CCM mnampa Cheo na wanaopambania CCM wanapewa nn? Kwa hiyo ukikosa tu cheo unahama utahamia vyama vingapi?
Siamini ushawishi wa Mwenezi kama Msigwa atakubali dhambi hiyo atatubu wapi! Maana kuna wengine wameumizwa na kuteseka Kwa kumwamini.
Na aliwaaminisha kwamba chama ni Chadema leo atawaambiaje? Kwamba CCM ndiyo inafaa? Sioni akifanya hivyo.
Msigwa ni mrafi wa madaraka miaka 10 yote hajatosheka kukalia kiti kwamba yeye anaamini kifo tu ndio kinastahili kumuondowa kwenye uongozi vinginevyo hatakiwi kabisa kushindwa.
Msigwa anataka atuaminishe kuwa iri uwe mwanasiasa wa Kiafrica nilazima ufikiri kwa kutumia tumbo badala ya kichwa[emoji43]
Kwamba kanda yote ya nyasa msigwa anaamini wanachama wote ni mandondocha hata akosekane mtu mwenye ushawishi zaidi yake.
Kwa hili msigwa kawakosea adabu hata wanachama wenzie wa cdm kama miaka 10 hajakamili kazi aliyotakiwa kukifanyia chama chake basi huyu hafai kuwa kiongozi hata wa nyumba 10
Ndio walewale walafi wa madalaka yaani wanaamini wanaongoza mandondocha na ndiomaana hawamiini katika kushindwaBro nkurunzinza mbowe ana miaka mingapi kwenye uwenyekiti? Futa hii
AnawezaMsigwa hawezi ishi na majambazi ya Lumumba