PostGE2025 Mwenezi CCM-Zanzibar, Khamis Mbeto awataka viongozi wa dini wasijihusishe na Siasa bali watoe ushauri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
1763359628591.png

Katibu wa Kamati Maalum vya NEC Zanzibar , Idara ya Itikadi ,Uenezi na Mafunzo, Khamisi Mbeto Khamis ,ameeleza hayo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Visiwani humu

Mbeto alisema matatizo yaliochomoza yana taaswira yac Siasa hivyo ni busara utatuzi wake , ukachwaa mikononi mwa Serikali na wanasiasa huku viongozi wa Dini wakisubiri kushirikishwa itakapohitajika .

Alisema hata inapozuka mizozo au mitafaruku ya Kidini Makanisani kwenye Mahekalu na Misikitini ,Wanasiasa hawana nafasi ya kushiriki katika kufikia utatuzi , ni busara pia kwa viongozi wa Dini kutoingilia Siasa.

"Viongozi wa Serikali hawajachoka kutafuta Suluhu na utatuzi kwa yaliotokeea. Si vyema na wala si ustaarabu Viongozi wa Dini kuwapangia hatma viongozi Serikali lipi la kufanya "Alisema Mbeto .

Akizumgumza kwa utulivu, Katibu huyo Mwenezi , alisema inasikitisha kuona Viongozi wa Dini Kuu , Uislam na Ukristo, wakianza kuzungumzia masuala ya kisiasa ndani ya nyumba za ibada kwa jazba na hamaki .

'Taifa linaoongozwa na Serikali ya Rais , Mkuu wa Nchi mwenye mamlaka kisheria na kikatiba. Hajashindwa kumaliza yaliojitokeza .Ikiwa viongozi wa Dini watahitajika wataitwa kutoa ushauri itakapobidi "Alieleza

Aidha ,alisema kwa namna yoyote ikiwa Viongozi wa Dini wataendelea kutoa matamko yenye hofu na taharuki katika jamii , Taifa linaweza kupitishwa katika Jangwa la hatari nyeusi isioepukika.

"Mwalimu Julius Nyerere amewahi kutamka hadharani Serikali ya Tanzania haina Dini. Wananchi ndiyo wenye imani za Dini .Hivyo si vyema baada ya miaka 60 Dini zijibebesha dhamana za kisiasa ' Alifafanua Mbeto

Chanzo: Habari digital
 
Tatizo waliwaendekeza toka mwanzo, sasa nao wamejiona ni sehemu ya uongozi wa nchi.
 
Sawa na kusema usicheze mpira ila angalia mpira
 
Wakitoa ushauri huwa mnasikiliza? Au ushauri mnaoutaka nyie?
Spana zimewaingia mpaka hawaelewi nini cha kufanya huku BAKWATA wanabwatuka tu bila ku-focus husda husda husda ndio umeanza kua wimbo mpya ni husda...

Oya D9
 
Oya D9, wamba wameshavurugwa gen z wameshikilia bomba full time
 
Katibu wa Kamati Maalum vya NEC Zanzibar , Idara ya Itikadi ,Uenezi na Mafunzo, Khamisi Mbeto Khamis ,ameeleza hayo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Visiwani humu

Mbeto alisema matatizo yaliochomoza yana taaswira yac Siasa hivyo ni busara utatuzi wake , ukachwaa mikononi mwa Serikali na wanasiasa huku viongozi wa Dini wakisubiri kushirikishwa itakapohitajika .

Alisema hata inapozuka mizozo au mitafaruku ya Kidini Makanisani kwenye Mahekalu na Misikitini ,Wanasiasa hawana nafasi ya kushiriki katika kufikia utatuzi , ni busara pia kwa viongozi wa Dini kutoingilia Siasa.

"Viongozi wa Serikali hawajachoka kutafuta Suluhu na utatuzi kwa yaliotokeea. Si vyema na wala si ustaarabu Viongozi wa Dini kuwapangia hatma viongozi Serikali lipi la kufanya "Alisema Mbeto .

Akizumgumza kwa utulivu, Katibu huyo Mwenezi , alisema inasikitisha kuona Viongozi wa Dini Kuu , Uislam na Ukristo, wakianza kuzungumzia masuala ya kisiasa ndani ya nyumba za ibada kwa jazba na hamaki .

'Taifa linaoongozwa na Serikali ya Rais , Mkuu wa Nchi mwenye mamlaka kisheria na kikatiba. Hajashindwa kumaliza yaliojitokeza .Ikiwa viongozi wa Dini watahitajika wataitwa kutoa ushauri itakapobidi "Alieleza

Aidha ,alisema kwa namna yoyote ikiwa Viongozi wa Dini wataendelea kutoa matamko yenye hofu na taharuki katika jamii , Taifa linaweza kupitishwa katika Jangwa la hatari nyeusi isioepukika.

"Mwalimu Julius Nyerere amewahi kutamka hadharani Serikali ya Tanzania haina Dini. Wananchi ndiyo wenye imani za Dini .Hivyo si vyema baada ya miaka 60 Dini zijibebesha dhamana za kisiasa ' Alifafanua Mbeto

Chanzo: Habari digital
Ningejaliwa au baba yangu angejaliwa kuwa kwenye mfumo , may be nami ningekua kwenye mfumo , kama Nape na wengine wengi.

Kuna jambo ningeshauri tunatokaje hapa ila ndo hivyo ,kila ukishauri waonekana takataka tu, ila ninazo njia 47 za kutoka tulipo kama Taifa
 
Kwani wanachofanya sasa hivi si ushauri ? Na kutokujihusisha sio Chama Chenu kilimpa Gwajima Ubunge kabisa na yupo / alikuwepo NEC ? Au nini maana ya kujihusisha ?

Mimi am all for chochote kitakachosemwa kama kikifuatwa na sio kukifuata tu kikiwa na manufaa kwenu
 
Katibu wa Kamati Maalum vya NEC Zanzibar , Idara ya Itikadi ,Uenezi na Mafunzo, Khamisi Mbeto Khamis ,ameeleza hayo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Visiwani humu

Mbeto alisema matatizo yaliochomoza yana taaswira yac Siasa hivyo ni busara utatuzi wake , ukachwaa mikononi mwa Serikali na wanasiasa huku viongozi wa Dini wakisubiri kushirikishwa itakapohitajika .

Alisema hata inapozuka mizozo au mitafaruku ya Kidini Makanisani kwenye Mahekalu na Misikitini ,Wanasiasa hawana nafasi ya kushiriki katika kufikia utatuzi , ni busara pia kwa viongozi wa Dini kutoingilia Siasa.

"Viongozi wa Serikali hawajachoka kutafuta Suluhu na utatuzi kwa yaliotokeea. Si vyema na wala si ustaarabu Viongozi wa Dini kuwapangia hatma viongozi Serikali lipi la kufanya "Alisema Mbeto .

Akizumgumza kwa utulivu, Katibu huyo Mwenezi , alisema inasikitisha kuona Viongozi wa Dini Kuu , Uislam na Ukristo, wakianza kuzungumzia masuala ya kisiasa ndani ya nyumba za ibada kwa jazba na hamaki .

'Taifa linaoongozwa na Serikali ya Rais , Mkuu wa Nchi mwenye mamlaka kisheria na kikatiba. Hajashindwa kumaliza yaliojitokeza .Ikiwa viongozi wa Dini watahitajika wataitwa kutoa ushauri itakapobidi "Alieleza

Aidha ,alisema kwa namna yoyote ikiwa Viongozi wa Dini wataendelea kutoa matamko yenye hofu na taharuki katika jamii , Taifa linaweza kupitishwa katika Jangwa la hatari nyeusi isioepukika.

"Mwalimu Julius Nyerere amewahi kutamka hadharani Serikali ya Tanzania haina Dini. Wananchi ndiyo wenye imani za Dini .Hivyo si vyema baada ya miaka 60 Dini zijibebesha dhamana za kisiasa ' Alifafanua Mbeto

Chanzo: Habari digital

GenZ siyo Wanasiasa.

Mgogoro wa sasa n wa CCM na Wananchi.
 
CCM haina critical thinker.

Siasa na Dini are of the same essence.

Mungu kwenye dini zao anaitwa "Mfalme" jina la kisiasa
 
Back
Top Bottom