Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amewakosoa vikali watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani kwa kutoa kauli za kejeli dhidi ya baadhi ya wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Hii tabia ya kudharau watu na kusema kwamba wasanii hawafai kugombea nadhani hii inakiuka misingi miiko ya Utanzania wetu, na pili haina nafasi kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM) sisi tunaamini mwanachama wetu yoyote anayekidhi vigenzo vyetu vya kikatiba na vya kikanuni na vya kimaadili anafaa kuchukua fomu na kuomba ridhaa ya Chama na baadaye wananchi kwaajili ya nafasi fulani”, ameeleza.