Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Nawe hesabu zako hazipo sahihi pia. Tukianzia hapo tu kwenye 0.4km/Ltr ni wazi kua kwa Km 19 zitatumia zaidi ya lita 47.fuel figures zako sidhan kama ni sahihi unless uwe unataka tu kuwatetea hao mwendokasi
kimara to gerezani ni km 19, average truck loaded with 30 tons ina rate ya 0.5 km per litre hizo ni km20 tunategemea lingekuwa lori hapo lingetumia lita 10 tu, likiwa loaded na 30 tons,
hizo basi hata wakati kabla ya korona ambapo zilikuwa zina pakia abiria 200 +( 20 tons) bado zisingeweza kulinganishwa na mzigo wa lori la 30 tons ,Labda sana sana zingetumia ratio ya 0.4, ambazo ni wastani wa lita 8 kwa km 20. kwa sasa abiria ni 42 almost nusu tani , zipe ratio ya 0.3 .
hesabu zako ziwe hivi 42x650= 27300
6litres ×1800=10800
kama watashuka wote ubungo basi itakuwa 54600- 10800
43800 kwa trip
hiki ni kipindi cha mpito tu ,kuna kipindi haya mabasi yalikwenda kwa faida ya zaidi ya laki kwa trip.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
sharkNawe hesabu zako hazipo sahihi pia. Tukianzia hapo tu kwenye 0.4km/Ltr ni wazi kua kwa Km 19 zitatumia zaidi ya lita 47.
Kifupi tu ni kua unakosea kuzidisha Umbali/Kilometa kwa ratio badala ya kugawa.
Halafu kingine kama ratio uliyoanza nayo ni 0.5km/ltr kwa lorry la tani 30, basi kama Bus ni economical efficient zaidi, basi hii ratio ilitakiwa ipande zaidi na sio ishuke kama unavofanya wewe.
Yaan kwa Bus ifike hata 1.5 na sio 0.3 ulioandika.
Rudia tena numbers zako, na unless uwe unapiga hesabu za Litres/km na sio Kms/ltr hapo naweza kukuelewa kwa mbaaaliiii.
Hesabu za kupima lita kwa kila kilometers hazitumikagi. Kipimo cha kawaida ni Kilometers ngapi Gari itaenda kwa kila lita moja. Yaani lita inakua 1, ndo unaangalia itaenda Kilometa ngapi.shark
hesabu ni nusu lita ya dizeli kwa kila kilometa! ,ilikuwa uombe nikueleweshe si kunipinga ilhali hujui concept .
kila la heri
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia kila ratio ina default yake, acha ubishi. Ratio ya ulaji wa Mafuta kwenye gari ni Kilometers/1Lita. Wewe umeona wapi ulaji wa Mafuta wa gari ukapimwa kwa Litres/1kilometre??shark
hesabu ni nusu lita ya dizeli kwa kila kilometa! ,ilikuwa uombe nikueleweshe si kunipinga ilhali hujui concept .
unapopiga mahesabu ya wastani kitu constant huwa kinakuwa cha mwisho kuelezewa , hapo urefu ni constant, (0.5 litre, per km)
kila la heri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulisoma kweli post yangu? Au umekurupuka tu ! Nimeandika 0.5 litres per km, hukuliona hilo? Hata Kama ningekuwa nimekosea bado nikaandika muendelezo wake ambao ulitosha kujieleza nimetumia kipimo kipi kwa kipi. Lita 10 kwa kilometa 20Nimekuambia kila ratio ina default yake, acha ubishi. Ratio ya ulaji wa Mafuta kwenye gari ni Kilometers/1Lita. Wewe umeona wapi ulaji wa Mafuta wa gari ukapimwa kwa Litres/1kilometre??
Bahati mbaya zaidi umeandika just numbers bila kuweka vipimo then unasema ungeulizwa ungeelewesha, yaan ueleweshe kitu ulichokikosea tayar?
Mkuu ulisoma kweli post yangu? Au umekurupuka tu ! Nimeandika 0.5 litres per km, hukuliona hilo? Hata Kama ningekuwa nimekosea bado nikaandika muendelezo wake ambao ulitosha kujieleza nimetumia kipimo kipi kwa kipi. Lita 10 kwa kilometa 20
Halafu niliweka anaglizo kuwa kwenye truck industry hapa kwetu tunatumia mfumo huo.
Sent
Wala sio kujiaibisha, kulikuwa na typing errors hapo ,kwa common sense tu ungeweza kutatua maana hata hesabu zilizofata zilisadifu uhalisia , ungewezaje kutumia Lita 47 kwa kilometa 20? ,View attachment 1465279
Heri ungekaa kimya tu, unazidi kujiaibisha.
changamoto zipo kila mahali, raia wa kawaida ndyo tunaoumia zaidiKwa sasa haiwalipi labda serikali iingilie kwa kutoa ruzuku. Basi refu 1=siti 42×650=27,300
Mafuta si chini ya lita 20×2000=40,000.
Yaani hata ukishusha abiria wote ubungo wapande wengine utapata 54,600 Kwa maana umepata 14,600.hapo haujalipa dereva, wala haujafanya service kwa maana hiyo kwa sasa biashara ni ngumu.
Siwatetei ila huo ni uhalisia. tunaofanya biashara hii tunajua changamoto zilivyo kwa sasa.
hasara inazalisha hasara nyingne kwa hao raia wanaokwenda kibaruani... ni hasara; kumbuka hata rush hour kipindi hiki cha Corona bado ni level seat. Kuna mdau kadadavua vizuri hapo juu gharama za kuyaendesha.
Labda ushauri ungekuwa serikali itoe ruzuku otherwise haiwezekani kuyaendesha kibiashara kwa mtindo wa level seat.
salute mkuu upo sahihi 100%fuel figures zako sidhan kama ni sahihi unless uwe unataka tu kuwatetea hao mwendokasi
kimara to gerezani ni km 19, average truck loaded with 30 tons ina rate ya 0.5 litres per km hizo ni km20 tunategemea lingekuwa lori hapo lingetumia lita 10 tu, likiwa loaded na 30 tons,
hizo basi hata wakati kabla ya korona ambapo zilikuwa zina pakia abiria 200 +( 20 tons) bado zisingeweza kulinganishwa na mzigo wa lori la 30 tons ,Labda sana sana zingetumia ratio ya 0.4, ambazo ni wastani wa lita 8 kwa km 20. kwa sasa abiria ni 42 almost nusu tani , zipe ratio ya 0.3 .
hesabu zako ziwe hivi 42x650= 27300
6litres ×1800=10800
kama watashuka wote ubungo basi itakuwa 54600- 10800
43800 kwa trip
hiki ni kipindi cha mpito tu ,kuna kipindi haya mabasi yalikwenda kwa faida ya zaidi ya laki kwa trip.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
... ukishafika huko sio issue ya UDART tena; imevuka mipaka imekuwa suala la kitaifa na ndipo tunaporudi pale pale serikali itoe ruzuku kwa UDART hususan ya mafuta na mishahara kama gharama za uendeshaji kipindi hiki cha Corona.hasara inazalisha hasara nyingne kwa hao raia wanaokwenda kibaruani
kwa hyo lengo la kuwepo mwendokasi ni la kujaza abiria mpaka mlangoni?... ukishafika huko sio issue ya UDART tena; imevuka mipaka imekuwa suala la kitaifa na ndipo tunaporudi pale pale serikali itoe ruzuku kwa UDART hususan ya mafuta na mishahara kama gharama za uendeshaji kipindi hiki cha Corona.
... lengo la mwendokasi ni kusafirisha abiria kwa haraka wawahi kwenye majukumu yao wakati huo huo kupunguza foleni za barabarani zilizokuwa zikisababishwa na daladala na magari binafsi.kwa hyo lengo la kuwepo mwendokasi ni la kujaza abiria mpaka mlangoni?
nashukuru sana kwa jibu lako la busara mkuu dudus naamini serikali itatoa ruzuku kama BRT wataomba kwa serikali kufanyiwa hivyo na siyo kulalamika na kuamua kuumiza raia... lengo la mwendokasi ni kusafirisha abiria kwa haraka wawahi kwenye majukumu yao wakati huo huo kupunguza foleni za barabarani zilizokuwa zikisababishwa na daladala na magari binafsi.
We jamaa una asili ya ubishi Sana, umekosea bado unang'ang'ania ulikua sahihi.Wala sio kujiaibisha, kulikuwa na typing errors hapo ,kwa common sense tu ungeweza kutatua maana hata hesabu zilizofata zilisadifu uhalisia , ungewezaje kutumia Lita 47 kwa kilometa 20? ,
Sent
sikushangai ni type ya watu mpo na negativityWe jamaa una asili ya ubishi Sana, umekosea bado unang'ang'ania ulikua sahihi.
Kama ulishaanza na rate ya Kilometers/Litre, na ulipoendelea hukuweka vipimo bali ratio tu, why ulazimishe watu waamini ni Litres per Kilometa?
Since ume admit kulikua na errors basi hesabu zako sio sahihi. Hesabu ukikosea number hata moja tu tayar uko nje ya jibu.
This is number mjomba, hiyo typing error inafanya hesabu zako ziwe wrong.sikushangai ni type ya watu mpo na negativity
typing errors ilikuwepo sawa ila hukutaka hata kutumia common sense ! kulikuwa na maelezo mengi tu yaliyosadifu
mf nimeeleza kutumia lita 10 kwa kilometa 20, nikaeleza kutumia lita 8 kwa safari hiyo hiyo ya km 20
mwishoni nikaeleza lita 6 kwa kilometre, hata hesabu zenyewe nimemalizia kwa 6 litres x1800 . kote huko bado hukutaka kushirikisha kichwa ili uni prove me wrong!
bado nimekuuliza kwa akili ya kawaida umewahi kuliona gari inatumia lita 47 kwa safari ya km 20?
Sent using Jamii Forums mobile app