Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,449
- 10,763
- Thread starter
-
- #21
Unajua gharama za kuoperate Vitz? Ama ndio bendera ufuata upepo nitoke kimara mpk kariakoo na parking nitumie 20,000 wakati kupanda mwendokasi natumia 1,300 kwenda na kurudi unahangaika na Vitz madeni kibao na ukute unapanga. Tunachalalamikia hapa uwepo usafiri rahisi ili kila mtu aweze kusave na kuachana na gharama za magari binafsi. Jaribu kutembea nchi za wenzetu wanavibito wamepark wanatumia kwa nadra sana.Mkuu tafuta hata kavitz.. utaachana na hayo malalamiko
fuel figures zako sidhan kama ni sahihi unless uwe unataka tu kuwatetea hao mwendokasiKwa sasa haiwalipi labda serikali iingilie kwa kutoa ruzuku. Basi refu 1=siti 42×650=27,300
Mafuta si chini ya lita 20×2000=40,000.
Yaani hata ukishusha abiria wote ubungo wapande wengine utapata 54,600 Kwa maana umepata 14,600.hapo haujalipa dereva, wala haujafanya service kwa maana hiyo kwa sasa biashara ni ngumu.
Siwatetei ila huo ni uhalisia. tunaofanya biashara hii tunajua changamoto zilivyo kwa sasa.
mkuu, kwani mafuta ya Shilingi 40000 uliyosema yanaenda safari ngapi kabla hayajaisha?Kwa sasa haiwalipi labda serikali iingilie kwa kutoa ruzuku. Basi refu 1=siti 42×650=27,300
Mafuta si chini ya lita 20×2000=40,000.
Yaani hata ukishusha abiria wote ubungo wapande wengine utapata 54,600 Kwa maana umepata 14,600.hapo haujalipa dereva, wala haujafanya service kwa maana hiyo kwa sasa biashara ni ngumu.
Siwatetei ila huo ni uhalisia. tunaofanya biashara hii tunajua changamoto zilivyo kwa sasa.
Wakati ule wanatengeneza faida triple kwa kujaza abiria kama nzi wa chooni, ni muda muafaka wa kurudisha sehemu ya faida kwa jamii, CORPORATE SOCIAL RESPONSIBILITY...Kwa sasa haiwalipi labda serikali iingilie kwa kutoa ruzuku. Basi refu 1=siti 42×650=27,300
Mafuta si chini ya lita 20×2000=40,000.
Yaani hata ukishusha abiria wote ubungo wapande wengine utapata 54,600 Kwa maana umepata 14,600.hapo haujalipa dereva, wala haujafanya service kwa maana hiyo kwa sasa biashara ni ngumu.
Siwatetei ila huo ni uhalisia. tunaofanya biashara hii tunajua changamoto zilivyo kwa sasa.
... Unasahau biashara ya daladala iko kwenye kushusha na kupakia mara nyingi kadiri iwezekanavyo. Unaposema yaende moja kwa moja hakuna biashara hapo.Hapana,
Wangeamua kufanya hivi,kwa wale abilia ambao wanakwenda moja kwa moja toka kimara kwenda kaliakoo au kivukoni ndo wanapanda magari ya kawaida na Kama unataka kushuka njiani unapanda magari ya udart ili ushuke kwenye vituo vyao nahisi kusingekuwa na tatizo hili
Ndio upambane na mwendokasi bila kulia lia mzee baba.Unajua gharama za kuoperate Vitz? Ama ndio bendera ufuata upepo nitoke kimara mpk kariakoo na parking nitumie 20,000 wakati kupanda mwendokasi natumia 1,300 kwenda na kurudi unahangaika na Vitz madeni kibao na ukute unapanga. Tunachalalamikia hapa uwepo usafiri rahisi ili kila mtu aweze kusave na kuachana na gharama za magari binafsi. Jaribu kutembea nchi za wenzetu wanavibito wamepark wanatumia kwa nadra sana.
Kwahiyo abiria wateseke vituoni ili wenyewe wasave costs ?... wanapunguza gharama za uendeshaji hususan hayo mabasi marefu ni gharama sana kuyaweka barabarani likiwa na abiria wachache - kumbuka ni level seat hakuna kusimama.
Unadhani mbele walifanikiwa kutokana na nini ebu jiulize hauwezi kuogopa kuiga kutoka mbele kisa wewe ni mjinga. Kinachofanyika hapa ni uhuni haiwezekaniki gari zilale kituoni kisa wanaogopa hasara.Ndio upambane na mwendokasi bila kulia lia mzee baba.
Unafananisha 'public transport' za huko mambele vs bongo?
Mwendokasi pia inashusha na kupandisha kupitia vituo vyake hivyo. Hapa hauna hoja mkuu... Unasahau biashara ya daladala iko kwenye kushusha na kupakia mara nyingi kadiri iwezekanavyo. Unaposema yaende moja kwa moja hakuna biashara hapo.
Nadhani hujaelewa hoja ya jamaa na nilichomjibu.Mwendokasi pia inashusha na kupandisha kupitia vituo vyake hivyo. Hapa hauna hoja mkuu
Sasa kama wewe unahisi ukiwamaindi wao mwendokasi ndio watabadilika basi fresh lkn kama hupendi fujo za kuchomeshwa mahindi kituoni,jasho za wananchi,kujazwa kama magunia na hii corona basi hakuna option zaidi ya kuvuta chombo chako.Unadhani mbele walifanikiwa kutokana na nini ebu jiulize hauwezi kuogopa kuiga kutoka mbele kisa wewe ni mjinga. Kinachofanyika hapa ni uhuni haiwezekaniki gari zilale kituoni kisa wanaogopa hasara.
Sio lazima kuchagua option ya kuvuta gari ndio kuondokana na kero je kwa wale wasiokuwa na uwezo wa kuvuta chombo watasemewa na kutetewa na nani?Sasa kama wewe unahisi ukiwamaindi wao mwendokasi ndio watabadilika basi fresh lkn kama hupendi fujo za kuchomeshwa mahindi kituoni,jasho za wananchi,kujazwa kama magunia na hii corona basi hakuna option zaidi ya kuvuta chombo chako.
Mimi mwenyewe sina wa kunitetea napambana na hali yangu tu mzee baba,hao wanyonge rais atawatetea maana alishajipambanua vyema kutetea wanyonge.Sio lazima kuchagua option ya kuvuta gari ndio kuondokana na kero je kwa wale wasiokuwa na uwezo wa kuvuta chombo watasemewa na kutetewa na nani?
Maisha mema kama una Vitz jitahidi kuwapa rais msaada wa rideMimi mwenyewe sina wa kunitetea napambana na hali yangu tu mzee baba,hao wanyonge rais atawatetea maana alishajipambanua vyema kutetea wanyonge.
Yaani abiria ili wapande gari lazima wafanye vurugu kwa wakata tickets, huu mradi unaendeshwa kihuni sana.Kinachoendelea katika mradi wa mwendokasi ni matokeo ya namna yetu ya kufikiri. Unapokuwa zero kwenye kufikiri hata kwenye utendaji huwa zero! Mradi unaendeshwa kizwazwa Sana, ukifikiria kuhusu jangwani ndio unachoka kabisa!
duuh 0.5 siichezo, so kuna wataki hapa hapa ndani unatia wese la million kwenye garifuel figures zako sidhan kama ni sahihi unless uwe unataka tu kuwatetea hao mwendokasi
kimara to gerezani ni km 19, average truck loaded with 30 tons ina rate ya 0.5 km per litre hizo ni km20 tunategemea lingekuwa lori hapo lingetumia lita 10 tu, likiwa loaded na 30 tons,
hizo basi hata wakati kabla ya korona ambapo zilikuwa zina pakia abiria 200 +( 20 tons) bado zisingeweza kulinganishwa na mzigo wa lori la 30 tons ,Labda sana sana zingetumia ratio ya 0.4, ambazo ni wastani wa lita 8 kwa km 20. kwa sasa abiria ni 42 almost nusu tani , zipe ratio ya 0.3 .
hesabu zako ziwe hivi 42x650= 27300
6litres ×1800=10800
kama watashuka wote ubungo basi itakuwa 54600- 10800
43800 kwa trip
hiki ni kipindi cha mpito tu ,kuna kipindi haya mabasi yalikwenda kwa faida ya zaidi ya laki kwa trip.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app