Mwendokasi sasa shidaa!!

Mwendokasi sasa shidaa!!

mandawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
905
Reaction score
1,284
Jamani sijui ndio kubana matumiz huku UDART ama la! Maana huu mjazo wa watu sikuhiz hatari sana, na ndugu zetu wengine matumbo yanatoa hewa chafu kiasi kwamba raha ya mwendokasi hamna tena Udart tusaidien feni kama hamna uwezekano was sit level ....
 
udart wamefilisiwa
 
Juz tu wamepunguza wafanyakazi kutokana na kujiendesha kwa hasara na wale udart wanamkopo tokea NMB ndio maana wanakula hasara
 
TMPDOODLE1478032477458.jpg
Kama hivi yani.
 
Dar tunaihamishia Dodoma.So,vumilieni tu kwa mda mfup hiyo adha itahamia Dodoma
 
Mwendokasi kupanda tunagombania, kunayofauti gani na daladala za kawaida.
Hadi huruma kwa wazee, maana hawawezi kugombania na mwisho wa Siku wanakuwa wanyonge na kuchelewa kule waendako, na hata wakibahatika kuingia hawakai, cha ajabu kijana ndo amekuwa mzee na kuwahi kukaa.
Hapo katika kugombania hasara pia zinatokea, wizi, uvunjaji wa vitu vya thamani kama simu, laptop, nk.
Kwa maeneo kama Morocco, Kmr mwisho, gerezani, na kivukoni. Kumekosa kuwa na utaratibu wa kupanda haya mabasi. Mbona nikiwa naenda mbezi na panda kwa foleni.? Inashindikana vip kwa maeneo hayo mengine.?
 
Jamani sijui ndio kubana matumiz huku UDART ama la! Maana huu mjazo wa watu sikuhiz hatari sana, na ndugu zetu wengine matumbo yanatoa hewa chafu kiasi kwamba raha ya mwendokasi hamna tena Udart tusaidien feni kama hamna uwezekano was sit level ....
Hizi brbr na miundombinu yake ni expensive, kunahaja ya kuingiza kampuni nyingine ili itumike vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom