" Halafu wataalamu wanasema"..Nilijua wewe ndo mtaalamu teh teh. Halafu KQ inakula loss sasa hivi na hizo ndege zao unalijua hilo? Ishu si ndege ishu ni uongozi kama asemavyo mwanakijiji. Unahitajika uongozi wenye uwezo wa kuona mbali ili kukabiliana na ushindanii..Kuwa na national carrier ni pride na inaweza kuwa na manufaa zaidi kwenye upande wa utalii.