E eltontz JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 887 Reaction score 439 Nov 24, 2015 #21 hakuna kuweka kitu mtu kama anataka maji aje nayo mkononi. Korosho ni anasa...Rais kashika hatamu!!
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,876 Reaction score 136,784 Nov 24, 2015 #22 Awamu hii ya masolex watumishi wa serikali wstatengeneza sana spur-- kwa kula koroshoz
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,592 Reaction score 59,694 Nov 24, 2015 #23 Mi nina allergy acha ninywe maji tu
tamimusalim JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 1,822 Reaction score 501 Nov 28, 2015 Thread starter #24 black sniper said: Mi nina allergy acha ninywe maji tu Click to expand... Heri yako mkuu
M miss_mbeya JF-Expert Member Joined Mar 24, 2015 Posts 1,072 Reaction score 1,021 Nov 28, 2015 #25 vasilisa mzuri said: Nampa pongezi kwa kutambua hazina hakuna kitu na kuchukua hatua kukabiliana na hiyo hali. Waliopita walikuwa majanga. Hata majumbani kwetu hali ikiwa ngumu tunafunga mikanda na kujibana. Click to expand... Ndio maana watumishi wa umma wengine hawajaingiziwa mishahara?
vasilisa mzuri said: Nampa pongezi kwa kutambua hazina hakuna kitu na kuchukua hatua kukabiliana na hiyo hali. Waliopita walikuwa majanga. Hata majumbani kwetu hali ikiwa ngumu tunafunga mikanda na kujibana. Click to expand... Ndio maana watumishi wa umma wengine hawajaingiziwa mishahara?