Mwendo wa korosho na maji!

Mwendo wa korosho na maji!

hakuna kuweka kitu mtu kama anataka maji aje nayo mkononi. Korosho ni anasa...Rais kashika hatamu!!
 
Awamu hii ya masolex watumishi wa serikali wstatengeneza sana spur-- kwa kula koroshoz
 
Nampa pongezi kwa kutambua hazina hakuna kitu na kuchukua hatua kukabiliana na hiyo hali. Waliopita walikuwa majanga. Hata majumbani kwetu hali ikiwa ngumu tunafunga mikanda na kujibana.

Ndio maana watumishi wa umma wengine hawajaingiziwa mishahara?
 
Back
Top Bottom