tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Huu.ni usanii wa muda mfupi tu kwakuwa nchini ipo katika hali mbaya kifedha. Nitaamin pale kama ikiendelea kwa miaka3. Lakin si sasa.
wangeweka karanga au biskuti, korosho ghali sana!
Huu.ni usanii wa muda mfupi tu kwakuwa nchini ipo katika hali mbaya kifedha. Nitaamin pale kama ikiendelea kwa miaka3. Lakin si sasa.
hahaah!! hata hayo maji bei ghali, wangeweka uhai, maisha, afya, au ya viroba kabisa. safari hii hatutaki mchezoDuuu !! Hata korosho mnaona ufisadi umetumikaduuu watanzania noma
Uamini sasa, uamini badae, haisaidii. Hata usiiamini milele.
wangeweka karanga au biskuti, korosho ghali sana!
:A S thumbs_up:Kweli itabidi tumweleze Dr Magu...!! Karanga tu zingewatosha! Ila hapo ilikuwa inapigwa mikuku!! sahani moja elfu 30!!
Yaani baada ya muda barua za kujiuzulu zitakuwa nyingi sana.
Nasie tupate uwazir mkuu