Mwendo kasi waua jamani

Mwendo kasi waua jamani

Chereko

Member
Joined
Jul 20, 2009
Posts
54
Reaction score
16
Habari nyingi miaka na hasa siku za karibuni ni ajali na vifo vinavyotokana na ajali na sababu kubwa ni mwendo kasi. Hivi kwani waendesha magari wanakimbilia wapi? :A S 13:
 
Ni kweli...madereva wengi wanapenda kukimbia sana wakati magari na barabara zetu si nzuri....ninashauri mtu usizidi speed 120 highway maana kwa speed hiyo angalau unaweza kucontrol gari
 
21082009869.jpg
 
Tyta
Hizo picha ni za basi au lory?
 
Last edited by a moderator:
wakati mwingine abiria ndo wanasababisha....dereva akiendesha mwendo wa kawaida, anaonekana hajui udereva.
 
Hapo hilo basi la tatu....UTINGO SIJUI KATOKA hapoo
 
Jiulize kwanini speed zinakuwa designed mpaka zaidi ya 150kph. Wengetengeneza speed mwisho 80 tu.
 
Back
Top Bottom