Wale madereva kuna tatizo..
Kama hakuna wasimamizi kila kituo wataua biashara..
Ikifika mchana wakifika mfano pale kivukoni au morocco (ambapo ndio natumia sana) wanaegesha magari kama hawafanyi kazi vile... Wanangoja mpaka abiria wawe Mara mbili ya uwezo Wa gari ndio wanaleta gari.moja... Huu ni ushamba.. Aliyetufundisha kuwa lazima daladala ijae mpaka wasimame ni mshamba pia...
Hii imepelekea watu turudi.kwenye mafoleni tu.. Maana haina maana.. Unapendeza uende kazini/kwenye kikao unashuka hueleweki umetafunwa na mbuzi au Nn! Mnasimama mpaka watu wanapumuliana ?! Hapa wabadilike.. Wao ndio mfano kuwa pioneer sometimes lazima ukubali hasara .. Kuna mabasi miaka Fulani yalikuwa yanaenda hata na abiria 3arusha kwakuwa walikuwa wanajenga reputation and it worked sasa hivi arusha hamsafiri na kuku na bata ndani... Mnaaka kwenye Viti wote ...sio kama kwenda Handeni huko.
Kwa kifupi UDART wanaenda kupoteza lengo halisi LA wao kuwepo.. Ndio wanatakiwa kupata faida kidogo itakayosaidia kujiendesha..ila lengo lao kuu ni kutoa huduma.. Wanapaswa kwenda na muda kuliko kuwa kama kamjingijingi trans.. Nilitegemea kwa muda huu wawe na gari zinapita vituoni kila baada ya dk 10 kama jua.. Kwa ratiba.. Unadhani watu wangekuwa wanajazana mpaka wanavunja milango ya magari?!
Wajipange waache ujinga.