Mwendo kasi sijui kinyonga

Mwendo kasi sijui kinyonga

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,624
Reaction score
1,826
Haya mabasi yanaboa sana toka kuanza kwa sikukuu imekua kero kwa wasafiri wa haya mabasi vituo vimejaa mabasi machache likija mnaminyana mpaka unaisi kupoteza maisha.lingine hivi kama mtu anaumwa marazi ya kuambukiza inakuaje.kama wahusika mmo humu njooni kimara mujionee mnatutesa ruhusuni dsm zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulishangilia sana kipindi kile daladala zinaondolewa njia iyo,, lengo lilikuwa zuri LA kuanzisha huo mradi,, ila sisi watu weusi wa ajabu sana, hatunaga tunachofanya kikafanikiwa,,, ni afadhali wangetuachia daladala zetu njia iyo,, ili anaetaka kupanda mwendokero apande,, na anaetaka kupanda kosta apande
 
kuna siku nilipoteza mfuko kisa kugombania express inabidi niende mpaka kimara mwisho ila niliupata

Back
Top Bottom