Ujue wewe una roho mbaya ndio maana hata haufurahii mapenzi. Kutekwa raha bwana, nani alikuambia ukitekwa unapigwa makonzi? Hivi mapenzi ya kudundana bado yapo?
Sikiliza hapa kwa Barnaba
Nikilia nabembelezwa kwa upendo,
naye akinuna namliwaza kwa vitendo
Je wewe ushawahi kubembelezwa,
mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa
ah ah nabembelezwaa ah
Mapenzi si mchezo nami
Nikilia nabembelezwa kwa upendo,
naye akinuna namliwaza kwa vitendo
Je wewe ushawahi kubembelezwa,
mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa
ah ah nabembelezwaa ah
<span style="color: rgb(0, 0, 0); font-family: Arial, sans-serif; font-size: 16px;">
Cc Kongosho
:mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Kuna mawili,ni mtoto wa mwisho kwao au wapekee au alishawahi kuumizwa huko nyuma....lakin pia yawezekana hakupendi.....
BansenBurner huyu ni chotara mkuu, mixa ya mchaga na mgiriki...Mpole huyoo halafu yuko vizuri mpaka najiskia vibaya akinunaga,becomes a problem
Pole dear...you know what dear because you have already known what kind a person she is.. Try to talk to her through ... Tell her how you are feeling about her behavior before you decide to do something else .. if nimuelewaje I'm sure she will understanding kama she is not then you can make a wise decision ... But just know that it is better to deal with the devil you know than the saint you don't know .. Good luck .. Thanks..
Nimekuanae kwa takribani mwezi mmoja na nusu sasa. Yuko very romantic, sweet tender loving! Cha kushangaza najihisi kama nashindwa kumzoea hivi maana kila tukipishana kwa jambo hata liwe dogo kiasi gani basi anakuwa kama kasusa.
Indirectly tukilizungumzia tatizo tukamaliza anadai yuko sawa ila kimtindo kunakuwa na mis-treatment flani anayoidhihirisha hata kwa kauli tu, inakuwa kama namlazimisha kuongea ikiwa yeye hana hamu tena ingawa anakuwa ananijibu on time.
Nimekuja kwenu wanajamvi, kama kuna mtu ana uzoefu na aina hii ya wanawake.Tunaishi nao vipi jamani? How to deal with it! Naona kama nitashindwa kukaza, sijazoea.
Si wanawake tu mi nina boyfriend na yuko hivyo anasusa susa sijui kwa vile anajua nampenda. Binafsi huwa nakaaga kimya tu hadi anajirudi mwenyewe maana nshauliza hadi nimechoka.
sijazoea kuishi na mtu wa hivyo hekimatele
tajirijasiri nampotezea vipi kwaa mfanoLabda na wewe uko sensitive sana! mpotezee! wanawake ndivyo walivyo! Yaani wanawake ni babies in a big body structure! Ni hayo tu
Huyo mwanamke atakuwa anapenda sana kudeka na kumbembelezwa, sasa kwa wewe ambae hujamsoma au hupendi hizo tabia labda unaona kama anakufanyia kusudi. Akinuna embu mbembeleze, mtanie, mpetipeti, muongeleshe mazuri. Uone atakavyokuwa na raha na furaha na wewe.
guasa kupiga chini mkuu??? Apo kwa mie uongo dhambi...Siwezi kufanya hivyo dogo ntamnyoosha tu as time goes on na kwanza kashaanza kuelewa uongoziMleta uzi nimekuelewa sanaaa.Nimepita katika kipindi hicho na maamuzi yangu nikapiga chini na nimefanikiwa.