Kinachotokea nigeria usikiombeeeIngieni barabarani mpasuliwe vichwa halafu Fatou Bensida atakuja kuwatetea. Bila ya hivyo mtabaki kulialia tu mtandaoni.
Nenda kapasuliwe kichwa kwanza halafu Fatou atakuja kukusaidia. La sivyo baku humu humu ukibonyeza keyboard.Kinachotokea nigeria usikiombeee
Ohh ile vurugu haijaanzishwa na vyama vya siasa
Ova
Bomu linaweza kukupata kama Akwilima aliyekua kwenye daladala..hivyo usipindishe singo la ujinga kusema watu wakiandamana barabarani ndo watapasuliwa.Nenda kapasuliwe kichwa kwanza halafu Fatou atakuja kukusaidia. La sivyo baku humu humu ukibonyeza keyboard.
Bomu linaweza kukupata kama Akwilima aliyekua kwenye daladala..hivyo usipindishe singo la ujinga kusema watu wakiandamana barabarani ndo watapasuliwa.
Futa ujinga wako ndugu mjinga.
Huyu bi mkubwa yupo vizuri najua hili atalifuatilia vizuri,ila asiogope pamoja na kuwekea vikwazwo na US asisahau kudai haki ya raia wa Afghanstan na Yemen walio uliwa na wanajeshi wa USA.
Mwendesha Mashtaka mkuu wa ICC, Fatou Bensouda anasema wanafuatilia yanayoendelea Nigeria, kwamba kila damu ya raia itahesabiwa
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter Fatou Bensounda amesema "Ofisi yangu imekuwa ikifuatilia kwa karibu matukio mbalimbali yanayoendelea nchini Nigeria pamoja na hatua zinazochukuliwa na wasimamia sheria na mawakala wa usalama. kila upotevu wa maisha au jeraha lolote litalojitokeza kwa raia linahesabiwa. Tunapokea habari inayodai uhalifu na tunafuatilia kwa karibu yanayoendelea".
Zaidi soma
My Office has been closely following the events arround current protest in Nigeria and the reaction of Nigeria's law enforcement and security agencies. any loss of life and injury are concerning. We have receive information alleging crimes and are keeping close eye on developments, in case vilance escalets and any indication arise that rome statute crimes may have been commited. I call for calm and restraint.
Hivi Marekani alienda? Nilisikia walimzuia kuingia huko!