Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,758
- 4,307
Mwendesha Mashtaka mkuu wa ICC, Fatou Bensouda anasema wanafuatilia yanayoendelea Nigeria, kwamba kila damu ya raia itahesabiwa
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter Fatou Bensounda amesema "Ofisi yangu imekuwa ikifuatilia kwa karibu matukio mbalimbali yanayoendelea nchini Nigeria pamoja na hatua zinazochukuliwa na wasimamia sheria na mawakala wa usalama. kila upotevu wa maisha au jeraha lolote litalojitokeza kwa raia linahesabiwa. Tunapokea habari inayodai uhalifu na tunafuatilia kwa karibu yanayoendelea".
Zaidi soma
My Office has been closely following the events arround current protest in Nigeria and the reaction of Nigeria's law enforcement and security agencies. any loss of life and injury are concerning. We have receive information alleging crimes and are keeping close eye on developments, in case vilance escalets and any indication arise that rome statute crimes may have been commited. I call for calm and restraint.