N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,993
- 12,041
ZIFUTAZO NI DALILI ZA MTU
AMBAYE
ANAENDESHA GARI YA KUAZIMA
(SIO YAKE)
1 Anaendesha kwa speed misele misele kibaoooo.
2 Anashika stelingi na mkono
mmoja mwingine nje ya mlango
3 Kumsalimia kila anayepishana naye hata kama hamjui
4 Kwenda na gari kwenye harusi halafu
anaipark vibaya ili atangazwe
(mwenye gari namba T. AZM...akatoe gari yake)
5 Kutoa kichwa hadi kifua nje
wakati wa kurudi nyuma wakati side mirrors zipo.
6. Mafuta anaweka ya 5,000/-5,000.
7. Akifika kwa washkaji lazima atumbukizie mada ya gari utasikia 'nataka nijaze kiwese niende kwa Temba pale kati'
ONGEZA NYINGINE 😀😀😀 si ununue lako kaa unataka sifa eboo