Mwendelezo

yani bora yule wa mwanajeshi ,pamoja na mapungufu yake alikuwa anakupenda,huyo uliyemuoa ni jini kabisa,siku huyo bwana ake akimwambia akuue,huyo mkeo anakuua kweli,hapo kimbia tu!ila una mkosi we jamaa sio bure !
 
mkuu wewe utakuwa huna PESA ndio maana mapenzi yanakutesa...tafuta PESA mkuu
 
Mkosi ninao na si bure
 
mkuu wewe utakuwa huna PESA ndio maana mapenzi yanakutesa...tafuta PESA mkuu
Pesa kama za kula zipo na kwa maisha ya kitanzania ukipata chakula pa kulala na mavazi vya uhakika si inatosha?
 
I see! Kuna muda unaweza ukahisi unaishi sayari nyingine....... Kama ni kweli maswala ya kiimani yamehusika , jipige kifua, msikilize Mungu...... Tofauti na hapo, hauko salama, u need deliverance.......
 
Thank you
 
WEKA PICHA KWANZA
MKUU.
 
Achaaaa ujinga mkuu kulialia 2 tafta pesa bhana magoma yapo don't stress ur self brother mmmh don't be like a kid grow up be logical wweee
 
Pesa kama za kula zipo na kwa maisha ya kitanzania ukipata chakula pa kulala na mavazi vya uhakika si inatosha?
Mkuu ur interest ni kula na kulaaa eeeroooh daaah watu wanaangamia kwa kweli I think ur so young ur age plz
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…