Mwendawazimu chizi

Made in Punjab kwa sethi
 
Sio cha kuchaji hicho kibajaji batteries zimekata!!!!!
 
mshana jr, hiyo ni Break down kama zilivyo mandolini za Dar. hapo jamaa wa bajaj 80,000/= inamuhusu
 
mshana jr, hiyo ni Break down kama zilivyo mandolini za Dar. hapo jamaa wa bajaj 80,000/= inamuhusu

Sasa ndio apande juu yake? Kwahiyo huyo punda amefungwa auto drive/walk?
 
Huyo punda mbona kirongewe au ni manyayaso kwa kuwa ni mnyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…