masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,886
- 15,101
Mbona unaharibu jina la maeneo yangu? unaitwa Muembe chai karibu na nyumbani kwa Marehemu RIP. Sheikh Yahaya Husein. Na Kuna Msikiti mkubwa unaitwa Msikiti wa Muembe Chai Mwaka 2003 Polisi waliwapiga Waislam wa huo Msikiti wa muembe chai kulikuwa na vita kati ya Waislam wa huo msikiti na Serikali unakumbuka mkuu Asante?Nasikia Dar kuna eneo linaitwa chai juu ya mwembe liko karibu na barabara ya morogoro, huwa najiuliza ni nani hasa mpishi wa hiyo chai.
Ili kuendeleza Historia ya mwembe Yanga, ni vizuri WanaYanga tupande mwembe mwingine, tuutunze ili uchukue nafasi ya huu unaokauka. Kwa kufanya hivyo Historia ya mwembe huo maarufu na alama muhimu hapa Dar haitopotea