Mkuu rombo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,556
- 423
aiseeeeee babayangu MWEKUNDU huyu mtoto wa obama tutagombana mi nakweshimu sana,,, mimi na wewe ni marafiki wa muda mrefu sana.kwa hili urafiki wetu utakufa hapa hapo nishaongea na mtoto na yeye kanizimia mtoto wa kichaga hapa tulipo tunaandaa:llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama:hawa kama mahari
babayangu nitaua mtu hapa yeruwiiiiiiiii yesu na maria mbutukuna....unasema umemchagulia nyimbo,mimi nimembebea ndoo ya mbege nitakuchoma kisu ya tumbu chaliiiii yangu
babayangu nitaua mtu hapa yeruwiiiiiiiii yesu na maria mbutukuna....unasema umemchagulia nyimbo,mimi nimembebea ndoo ya mbege nitakuchoma kisu ya tumbu chaliiiii yangu
