Msikie mwehu huyu, alienda kwa rafiki yake kupiga story, mara mvua kubwa ikanyesha mshkaji ikabidi amwambie rafiki yake usijali utalala hata hapa sebuleni Lea kuwa mvua kubwa! Jamaa akasema poa nitalala usijali! Mwenyejì alipoingia chumbani kwake kulala kama dk10, kutoka chumbani akamkuta rafiki yake amelowa chapachapa alipomuuliza, vp mbona hivyo!? Jamaa akajibu... Nilienda kuchukua shuka nyumbani...!
wengine ndo mara yetu ya kwanza kuiona.....copy and paste, anza kujifunza kutunga jokes zako, ukiisikia mtaani cheka zen ipotezee
wengine ndo mara yetu ya kwanza kuiona.....
ukiiona mtaani una share na wenzako mana hatuishi kitaa kimoja.
poa.......iko humu humu, ilikuwa ya 3 tu chini ya hii aliyoipost yeye