Mweehh YANAITWA MAKAVU LIVE

Mweehh YANAITWA MAKAVU LIVE

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,160
Wanaume saa ingine muwe mnayabana mioyoni.......yafuatayo ni maneno ya mkaka baada ya kuandamwa kuhusu utambulisho

"Ndo kwanza mna wiki 8 unaanza kumuuliza maswali kibao,ooh utanioa lini,lini unakuja kumuona mama..Mamako mwenyewe alisubiri Posa miaka 6 kutoka kwa babako,tena kwa heshima zote kwa kuvaa sketi za vitenge na kaniki ndefu hadi chini,we unaulizia ndoa kutwa unavaa vibwaya na sketi fupi huku umebetua nyonyo nje muda wote kama unanyonyesha MAKURUTA wa JKT halafu unataka ndoa..Haraka za nini kama unadoea Pilau ya Hitima kwa jirani,Tulia,Ndoa haiombwi na haiji ghafla kama Kifafa cha Mimba,Mwanaume ukimsuuza roho yake ataomba mwenyewe kuja kwa wazazi..Invest kugusa moyo wake na sio kuomba pete kama unaagiza wali kwa mamantilie!"
 
waambie hao ooooh wanarembua na sauti kabisa baby unakuja lini nyumbani wakati ndo wana wiki moja hehehehehe wa kuwowa wanakuja kirahisi rahisi hivyo.
 
Ahahahah ndo mjifunze sasa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
waambie hao ooooh wanarembua na sauti kabisa baby unakuja lini nyumbani wakati ndo wana wiki moja hehehehehe wa kuwowa wanakuja kirahisi rahisi hivyo.

Kwanza siku hizi hawawowi hadi mudi ya kuwowa ije, we kila siku unauliza lini utyambulisho
 
Wanaume saa ingine muwe mnayabana mioyoni.......yafuatayo ni maneno ya mkaka baada ya kuandamwa kuhusu utambulisho "Ndo kwanza mna wiki 8 unaanza kumuuliza maswali kibao,ooh utanioa lini,lini unakuja kumuona mama..Mamako mwenyewe alisubiri Posa miaka 6 kutoka kwa babako,tena kwa heshima zote kwa kuvaa sketi za vitenge na kaniki ndefu hadi chini,we unaulizia ndoa kutwa unavaa vibwaya na sketi fupi huku umebetua nyonyo nje muda wote kama unanyonyesha MAKURUTA wa JKT halafu unataka ndoa..Haraka za nini kama unadoea Pilau ya Hitima kwa jirani,Tulia,Ndoa haiombwi na haiji ghafla kama Kifafa cha Mimba,Mwanaume ukimsuuza roho yake ataomba mwenyewe kuja kwa wazazi..Invest kugusa moyo wake na sio kuomba pete kama unaagiza wali kwa mamantilie!"
hii imekaa sawa, nitumie copy
 
Wanaume saa ingine muwe mnayabana mioyoni.......yafuatayo ni maneno ya mkaka baada ya kuandamwa kuhusu utambulisho

"Ndo kwanza mna wiki 8 unaanza kumuuliza maswali kibao,ooh utanioa lini,lini unakuja kumuona mama..Mamako mwenyewe alisubiri Posa miaka 6 kutoka kwa babako,tena kwa heshima zote kwa kuvaa sketi za vitenge na kaniki ndefu hadi chini,we unaulizia ndoa kutwa unavaa vibwaya na sketi fupi huku umebetua nyonyo nje muda wote kama unanyonyesha MAKURUTA wa JKT halafu unataka ndoa..Haraka za nini kama unadoea Pilau ya Hitima kwa jirani,Tulia,Ndoa haiombwi na haiji ghafla kama Kifafa cha Mimba,Mwanaume ukimsuuza roho yake ataomba mwenyewe kuja kwa wazazi..Invest kugusa moyo wake na sio kuomba pete kama unaagiza wali kwa mamantilie!"

Hahahaa, like this. Siyo tusumbuane tu, lazima kuwe na intensive probation period.
 
waambie hao ooooh wanarembua na sauti kabisa baby unakuja lini nyumbani wakati ndo wana wiki moja hehehehehe wa kuwowa wanakuja kirahisi rahisi hivyo.

wacha kuwadanganya wenzio wakikaa kimya sii ndio watagegedwa mpaka mwisho.
 
waambie hao ooooh wanarembua na sauti kabisa baby unakuja lini nyumbani wakati ndo wana wiki moja hehehehehe wa kuwowa wanakuja kirahisi rahisi hivyo.

Mustakabali wako utakua unaaza kuharibika pindi tu utakapoanza kukaa kimya kwa mambo yanayokuhusu.
 
Tatizo twatumia sana maakili yetu kupata hao wenza ndio mana mambo yanaonekana magum laiti tungekua pia tunamshirikisha Mungu kwa sana wala zisingehitajika hizo formula za kusubiri sana au kidgo ndo uulizie ndoa
 
Hahahaaaaaaaaaa! Ndoa zinazoombwa za mabwenyenye, nyumba full ac, gari 3 nje, na mambo kama hayo sio zetu hizi za kupigana doneeee ya kodi na luku. Majukumu pasupasu.

Akhaaaaaaaa! Unakaa kwanza kujinafasi na kufaidi kwanza kabla ya kuingia kwenye mapambano na uchumi na mamkwe!
 
Wanaume saa ingine muwe mnayabana mioyoni.......yafuatayo ni maneno ya mkaka baada ya kuandamwa kuhusu utambulisho

"Ndo kwanza mna wiki 8 unaanza kumuuliza maswali kibao,ooh utanioa lini,lini unakuja kumuona mama..Mamako mwenyewe alisubiri Posa miaka 6 kutoka kwa babako,tena kwa heshima zote kwa kuvaa sketi za vitenge na kaniki ndefu hadi chini,we unaulizia ndoa kutwa unavaa vibwaya na sketi fupi huku umebetua nyonyo nje muda wote kama unanyonyesha MAKURUTA wa JKT halafu unataka ndoa..Haraka za nini kama unadoea Pilau ya Hitima kwa jirani,Tulia,Ndoa haiombwi na haiji ghafla kama Kifafa cha Mimba,Mwanaume ukimsuuza roho yake ataomba mwenyewe kuja kwa wazazi..Invest kugusa moyo wake na sio kuomba pete kama unaagiza wali kwa mamantilie!"

Duh kweli haya makavu, sijui kama atarudia kuomba
 
hivi kumbe bado
kuna wanaong'ang'ana
na ndoa nawdays!heri yao mweeeh!
 
Wanaume saa ingine muwe mnayabana mioyoni.......yafuatayo ni maneno ya mkaka baada ya kuandamwa kuhusu utambulisho

"Ndo kwanza mna wiki 8 unaanza kumuuliza maswali kibao,ooh utanioa lini,lini unakuja kumuona mama..Mamako mwenyewe alisubiri Posa miaka 6 kutoka kwa babako,tena kwa heshima zote kwa kuvaa sketi za vitenge na kaniki ndefu hadi chini,we unaulizia ndoa kutwa unavaa vibwaya na sketi fupi huku umebetua nyonyo nje muda wote kama unanyonyesha MAKURUTA wa JKT halafu unataka ndoa..Haraka za nini kama unadoea Pilau ya Hitima kwa jirani,Tulia,Ndoa haiombwi na haiji ghafla kama Kifafa cha Mimba,Mwanaume ukimsuuza roho yake ataomba mwenyewe kuja kwa wazazi..Invest kugusa moyo wake na sio kuomba pete kama unaagiza wali kwa mamantilie!"
Hili nalo neno!!!
 
]Tatizo twatumia sana maakili yetu kupata hao wenza ndio mana mambo yanaonekana magum[/B] laiti tungekua pia tunamshirikisha Mungu kwa sana wala zisingehitajika hizo formula za kusubiri sana au kidgo ndo uulizie ndoa

Umenena kweli alafu tunakuwa too theoretical wakati maisha tunayoishi miaka yote ni hayo hayo alafu mtu anakuwa na expectation nyingi kutoka kwa mwenzake kuliko mambo mengine ambayo sio tangible lakini ni ya msingi kuliko hizo expectation ambazo nyingi ni man made
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom