Jamaa wa UN Wana ubaguzi mbona wamemvumili Jk. Na kuchakachua kote kule.
acha kudanganya wewe, JK alishinda wap? tuambiane tu the West wana interest zao haswa kwenye madini na hawako assured kama watapata upenyo kama uongozi mwingineo utaingiaTukubali ingawa kulikuwa na wizi wa hapa na pale, jk alishinda huu uchaguzi. Kibaya kwa bgabgo ni kwamba ECOWAS AU, na UN hawamkubali.Halafu upuuzi wake umewahuzi wengi, yaani unaalika UN wanaspend 400m dollars halafu upinzani ukishinda unakataa hii si tu kukosa shukrani bali ni kututia aibu waafrika, maana hii ni tabia ya kitoto kabisa.
Acheni ushabiki usiokuwa na vichwa wala miguu JK alishinda uchaguzi kweli japokuwa ni kwa asilimia ndogo tofauti na zilizotangazwa
Jamaa wa UN Wana ubaguzi mbona wamemvumili Jk. Na kuchakachua kote kule.
Source bbc news Dec 24 2010
Earlier, the region's central bank handed over control of Ivory Coast's accounts to Mr Ouattara.
Correspondents say the moves are increasing the isolation of Mr Gbagbo, who has insisted that he won the vote.
The decision of the Central Bank of West African States could make it difficult for the incumbent president to pay the army.
Sasa nampa huyu dikteta mwezi mmoja tu, pale pesa za kuwalipa wafanyakazi wa serikiri zitakapokauka.
Hizi hatua zinazochukuliwa dhidi ya gbagbo ni za kutia moyo, na uenda zikamfanya Mugabe afikirie mara mbili kama alikuwa amepanga kuchakachua hata huu uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mapema mwaka ujao. Hata hivyo, ECOWAS inastahili pongezi kwa msimamo wake madhubuti. Kinyume na SADAC ambayo viongozi wake wana tabia ya kulindana hata pale panapo onekana pana dhuluma ya wazi, ECOWAS safari hii imeonyesha kuwa haina mchezo na mambo ya kipuuzi. Msimamo huo wa ECOWAS ndiyo umerahisisha mambo kwa AU na UN.
Jamaa wa UN Wana ubaguzi mbona wamemvumili Jk. Na kuchakachua kote kule.