MWAUWASA kuna tatizo gani?

MWAUWASA kuna tatizo gani?

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Tangu jana hapa Mwanza maeneo mengi hayana maji na hii imeleta adha kubwa sana ikichukuliwa kuwa maji ni bidhaa muhimu katika maisha ya binadamu. Ninashauri kila linapotokea tatizo kama hili basi wananchi wawe wanajulishwa ili nao waweze kuchukua tahadhari.
 
Back
Top Bottom