Kanona ghafuraMmmh, huyu dada mmeifanyaje hiyo picha hadi kaonekana mzuri namna hii?
Nimeshangaa Mwasiti kazidisha uzuri ghafla imekaaje hii...Kanona ghafura
Filter hizo MkuuNimeshangaa Mwasiti kazidisha uzuri ghafla imekaaje hii...
Demu nilimuona anaperform pale kawe aseeh demu ni wakawaida sana....[emoji3059][emoji3059][emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2062053
Ana tungo tamu sana huyu mnyange.. Kongole kwake....[emoji3059][emoji3059][emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2062053
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064] EHHuyo sio Mwasiti bali ni copy ya picha ya Mwasiti iliyochakachuliwa.
Mwasiti halisi kakomaa, kachoka na kapauka kimtindo.
[emoji38][emoji38] nikiangalia picha ya slow slow na jibu lako basi nacheka tu.Demu wangu