Mwarami (MWARAMSHA) Vs Mtata (DE MTATUZ)

Commissioner_

Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
89
Reaction score
78
Kwa wale ambao wamesoma michepuo inayojumuisha hisabati (Advanced Mathematics) majina ya jamaa hawa si mageni katika uwanja huo.


Swali ni je nani kati ya hao wawili hapo juu yupo bora zaidi kwa kuzingatia ufundishaji na notes zao?
 
Sio wote tulipiga mapindi DAR wengine tutakujibu Mkandawile, Waugoko hao ndio tuliwakubali mkuu
 
Mimi wa Dodoma enzi zangu nitakuambia Juma Ngongite
 
Jinsi ulivyoandika tu unajua kus mwaramsha nfo fundi. Japokua nmesoma topics chache kwake ila aliniinspire kwny math nikapata banda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…