Watu kama hawa watoto wa uswahilini huwa wanajipigia kama nyegere kumla koboko wakati unajiandaa kupigana unajikuta umeshazingirwa na kijiji lazima usande tu
Yaonekana humjui Mwarabu Mirundi, Fighter zaidi ya kuwa mlinzi wa Diamond ni mchezaji wa mchezo wa Zurkhaneh upande wa Khosti Pahalvan ambapo amepata medali nyingi tu mfano 2011 All African game Mozambique medali ya Shaba na Silver,Ethiopia medali ya Shaba 2015, Tajikistan alifanikiwa kuingia robo fainali ingawa hakushinda medali. Yeye pia mwanachama wa Zurkhaneh Tanzania na anasafiri pia na timu ya taifa ya mchezo huo ukitaka jua mengine ya kimichezo fika BMT, au Zurkhaneh office. Kwa kweli anutumia mwili na ujuzi wake kwa manufaa yake na taifa pia usidharau kazi yake kwani kazi nzuri ya mwenzako...