singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Wadau tulikuwa tunasema Lowassa anatembea na vyeo mfukoni wakati wa uchaguzi mkuu 2015 watu wakabisha, sasa tumeona Balozi Mwapachu kamwaga mboga kwa jinsi alivyofunguka juu ya rafiki yake Lowassa kuwa alihaidiwa uwaziri wa mambo ya nje.
Tunawasuburi wengine nao wafunguke kina Kingunge na Sumaye nao watwambia walihaidiwa nini na Lowassa mpaka ikafikia hatua ya kujichetua namna ile ambapo walisema CCM haikufanya lolote kwa miaka yote wakati walikuwa viongozi waandamizi ndani ya chama na serikali.
Mabadiliko ya kuzungusha mikono yameshindikana, sasa ni wakati wao kufunguka bila aibu watanzania tutawasamehe tu
Nawasilisha