manywangari jean malonkwa
Senior Member
- Mar 17, 2016
- 193
- 188
Baada ya uchaguzi kumalizika na Uncle John kufanikiwakushika hatamu kupitia wanakijani.Hoja nzito iliyopo mbele ya wanasiasa na watanzania kwa ujumla ni katiba mpya.
Na ktk harakati hizo, CHADEMA ni moja ya kundi litakalokuwa mstari wa mbele. Watakuwa wakidai katiba ileee ya Warioba.Katiba ambayoLowassa,Sumaye,Kingunge na Masha waliipinga kwa nguvu zote kwa sababu tu walikuwa Chama cha Mapinduzi japo walijua umuhimu wa mapendekezo Yale ya Warioba.
Waliyapinga maoni ya wayanzania, wakamuruhusu Nyoka mwenye makengeza akayachezea.
Hawa ni miongoni mwa viongozi wandamiz waliokuwa naushawishi mkubwa hivyo maoni yao yalikuwa na uzito mkubwa.
Bahati nzuri hawa niliowataja sasa wapo upande wa pil nawameshiriki uchaguzi mkuu wakiwa huku, wameonja radha ya kuwu upande wa huku wamejionea jinsi sheria za uchaguzi zisivyotoa uwanja sawa kwa vyama vyote.
Lowasa sasa anaami angelipambana ikapatikana tume huru pengine Leo angekuwa rais( ndio maana alikuwa na watu wa kutosha tu japo Mimi ni kati ya watu waliomkataa kwa sabb nizijuazo mm na ktk kutimiza haki ya kidemocrasia lkn ukweki utabaki kuwa alikinukisha).
Kosa la Lowassa na wenzake wkt ni kuwa wkt ule waliangalia masihi yao, hawakuangalia masirahi ya watu wote kamaWarioba alivyokuwa ameanagalia.walikuwa watoto waliodekezwa ndani ya Chama wakarithi ubabe, wakawaona wapinzani hawana maana, wakapitisha sheria kandamizi kwa wapinzani na wkt mwingine wakaviamuru vyombo vya usalama kuwashughulikia akina Slaa, Rwakatare na wengine wengi.
Sasa naamini wameliona kosa lao, sasa watakuwa mstari wa mbele kupambana ili ipatikane katiba yenye masirahi kwa watanzania wote.
Naamini watafanya hivyo sio kwa kuwa wapo CDM bali kwakuwa wanajua sasa kwenye vyama wanapita tu ila masirahi ya taifa ni mhimu na pengine kesho wanaweza kuwa ACT au TADEA.
Hivyo watapambana ili ipatikane katiba inayotoa haki sawa kwa watanzania wote bila kujali wanakotoka, imani zao na ikikadi zao.Watafanya hivo sio kwakuwa wapo CDM Bali kwakuwa wamehifunza kitu.
Wakati wakifanya haya werevu wachache kutoka CCM watawaunga mkono, ila wajinga wengi watawakebehi.