Nashukuru nishakaribia na nilishaanza kufanyia kazi. Ila nakwama njiani. Kila nikimeditate Kwa kufumba macho na kusikiliza pumzi naona kama mawingu meusi na nyota kwa mbali ikiwa na mwanga hafifu, kwa mda mfupi tu alafu vinatoweka. Nishaona kama mara tatu kwa siku tofauti. Na baada ya hapo huwa siwezi kwendelea na meditation. Naomba unipe ufafanuzi ni nini hicho na nifanyeje nisonge mbele.
Natanguliza shukurani mkuu.
ni sawa vile huta umia ukiwa umelala na Sehemu yoyote haiumi ni sawa mkuu..
usijali mkuu tupo pamoja itafikia sehem tafundisha jinsi ya kumjua mtu anaekufata kwa shari au heri,anaekutamani au kukupenda kwa kutumia Aura Reading..
#Rakims