Kwa kuongezea Mimi nafahamu meditation za aina Tatu
Meditation ya pumzi(breath)
Meditation ya mantra
Meditation ya divine light and sound
Kwa wote mnaosoma hapa mnaweza kufanya breath but hizo zingine mpaka ueleweshwe vya kutosha jinsi ya kufanya
Breath inafanywa kwa kukaa chini iwe kitandani au chini kabisa
Chagua Mkao mmoja Hapo
View attachment 179621
Then weka mto Nyuma ya mgongo ukiegemea katika ukuta ili usichoke
Fumba macho
Anza kuingiza pumzi na kutoa taratibu
Fuatilia hiyo pumzi ikiingia weka pause au hold kabla ya kutoa then unatoa
Anza na dakika kumi
Hapo utakuwa umefanya breath meditation
Then utakachofeel njoo uandike hapa wote tusikie
Kumbuka akili yako yote kuielekeza katika pumzi wakati wa meditation
Uzi wa great thinkers umeingiliwa na pro fbDaah kwa xix ma genius inatufaa xana
JINSI YA KUFANYA MEDITATION
Meditation:
Ni ile hali wakati mawazo yanapokuwa yameyeyushwa na kufikia mahali ambapo hakuna fikra yenye kuingia tena.
¡¤ Wengine wanaielezea tahajudi kwamba, ni sala za usiku wa manane.
FAIDA ZA MEDITATION
1. Husaidia kuratibu msukumo wa damu pamoja na usafirishwaji wa damu mwilini.
2. Husaidia pumzi pamoja na kurahisisha usagwaji wa chakula mwilini.
3. Husaidia kuimarisha mfumo wa kinga mwilini.
4. Husaidia kuleta furaha ya nafsi.
5. Husaidia kuimarisha nguvu yako ya machale pamoja na nguvu zako za ziada.
6. Husaidia kutibu matatizo mengi ya kisaikolojia kwani hubadili hali ya mfumo wa fahamu na mawazo (endapo itafanywa kila siku).
7.meditationpia inaweza kutumika kuomba kitu unachohitaji,kamavile kazi au mahitaji mbalimbali,
Hatua zinazotakiwa wakati unajiandaa
Kufanya meditation ni kamai fuatavyo:
1. Tafuta sehemu iliyotulia, isiyo na makelele. Kaa kwenye kiti au chini, au lala kitandani. Hakikisha huumii mahali popote. Legeza mwili wako pamoja na misuli yote ya mwili wako kwa kadri utakavyoweza.
2. Sahau matatizo yako yaliyopita, yaliyopo na yajayo. Sahau matatizo yako ya kazini au nyumbani. Jitahidi usifikirie chochote.
3. Ni muhimusanakujali hisia zako wakati unafanya tahajudI.
4. Pumua kwa kuingiza pumzi ya kutosha mapafuni, halafu toa pumzi yote na kufanya kifua kiwekamakitupu. Weka mawazo yako yote kwenye pumzi zako
.
Aina za :meditation
1.meditation ya pumzi.
Ni kongwe zaidi. Ilianzia china naIndia. Ni tahajudi nzuri au muhimu kwa wale wanaoanza kujifunza.
2.meditation ya mkono:
Hii inakuonyesha ni kwa jinsi gani mawazo yako yana nguvu zaidi kuliko mwili. Lakini pia inakuonyesha uhusiano uliopo kati ya mawazo yako na mwili wako.
.
3.Tahajudi ya namba:
Hapa, unatakiwa kuhesabu namba kinyumenyume huku ukiwa umefumba macho. Unaweza ukaanzia 100, 99, 98, 97, 96, ¡-mpaka 1, au unaweza kuanzia 200, 198, 196, 194, 192, ¡-mpaka 2. hakikisha wakati unahesabu namba hizi hukosei, na ikitokea ukakosea namba yoyote hata
kamaumekaribia kumaliza, itakulazimu kuanza upya. Tahajudi hii ni nzurisanakwa kurejesha kumbukumbu, ingawa pia ina faida nyingine.
Hizo ni baadhi ya tu ya aina za meditation.... By Rakims
Weka timer au alarm kabla hujaanza meditation otherwise hadi uzoee Ndio hutatumia saa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Najaribu kufanya lkn mawazo siwezi kuyashinda
Uliwahi kuniambia kuwa nina power ya Mediumship ya kuongea na spirit, na umesema inawezekana kuongeza uwezo mpaka kufikia hatua ya kuwaona kabisa. Je, vipi naweza kuongeza hiyo power ?
Nilisema mimi, kuwa darasa limeshakuwa ni kwa ajili ya watu maalum, nikapingwa hapa ... Haya kiko wapi ? Wiki ya pili sasa nasubiri majibu, watu wako busy na whatsapp ...!!!:A S-cry:
Mkuu Rakims, mimi niliwahi kukutwa na kitu mpaka nikaogopa sana, ilikua hivi;
Ni mida ya usiku kama saa tano hivi nilichukua kitabu flani nikaamua kukipitia ili nitafute usingizi, kuna ukurasa nilifunua nikakuta picha ambayo ni ya kuchora, picha ile ni ya mwanaharakati wa miaka ya zamani sana, ilivyo ni kama zile za kubandika ukutani(mf hizi za rais) zilizopo kwenye maofisi, picha yenyewe hiyo mtu amenitazama, basi ile picha nilijikuta naitazama bila kupepesa macho kwa dk5, mara nikahisi kama inabadilika, yaani yule mtu akawa kama anaanza kufanya movement, niliogopa sana nikafunika kitabu haraka sana kisha nikaenda kulala, je hiyo ilikua ni tatizo gani?
Nimesikia kuwa lile group la whatsapp a.k.a elimu hewa limevunjwa na mwalimu wao kisa wanafunzi hawataki kutoa ada a.k.a skuli fizi. Mwl njaa wanafunzi njaaa raha kweli.